Kwanini Halima Mdee na kundi lake wanalindwa kwa nguvu kubwa kiasi cha kukiuka katiba ya nchi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Nimekuwa nafuatilia Suala zima la Ubunge wa Viti Maalum namna Mchakato wake unavyopaswa kuwa Kisheria na namna Mbunge anavyoweza kupoteza Ubunge wake kwa Mujibu wa KATIBA ya NCHI.
Kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo Moja ya sifa inayoweza kumfanya MBUNGE apoteze UBUNGE wake ni "KUFUKUZWA UANACHAMA" na Chama chake.Hili limewahi kutokea kwa Mbunge Sophia Simba wa CCM alifukuzwa Uanachama na Spika alipojulishwa tu alitangaza kuwa Ubunge wake umekoma hakukuwa na danadana wala chenga Kama za akina HALIMA na Genge Lake.
WABUNGE 8 wa CUF walifukuzwa UANACHAMA wao na SPIKA alipojulishwa tu Aliwaondoa BUNGENI hakukuwa na Danadana wala Chenga kama hawa wa CHADEMA.Na hawa wa CUF baada ya KUONDOLEWA Bungeni ndio WALIKATA RUFAA kupinga KUFUKUZWA UANACHAMA tofauti na hawa wa CHADEMA wanapinga Kufukuzwa UANACHAMA huku wakiwa bado WABUNGE.
SWALI langu
KWANINI UBUNGE wa HALIMA MDEE na GENGE Lake UNALINDWA kwa Nguvu Kubwa na Gharama kubwa huku kukiwa na UKIUKWAJI MKUBWA wa KATIBA?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio muhuri wa uhalali was serikali hii iliopo!!

Bila wao serikali ingepumulia mashine kabisa!!
 
wanalindwa kwasababu ya udhaifu wa chama chao kuhusu masuala ya sheria..
 
Back
Top Bottom