DC Ludewa Kuanza Ziara Rasmi Ukaguzi wa Miradi ya Maji Katika Kata za Ludewa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO

KATA YA MAVANGA: MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA
• Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578.
• Mradi utahudumia wakazi: 5,249
• Mradi umetekelezwa kwa 92% na unatoa huduma.

Kazi zilizotekelezwa katika mradi

• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenzi wa tenki la maji 200m3 na ukarabati wa tenki la maji 120m3
• Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 19.72
• Ujenzi wa vituo 14 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki
• Ujenzi wa Ofisi ya Chombo cha usimamizi wa watumia maji ngazi ya jamii unaendelea

KATA YA IWELA: MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IWELA
• Gharama za Mradi: Tsh. 1,450,875,400.00.
• Mradi unahudumia wakazi: 1,397
• Mradi umetekelezwa kwa 100% na unatoa huduma

✅Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenziwa matenki mawili (50m3 juu ya mnara wa 9m na ground tenki 75m3)
• Ujenzi wa mtandao wa mabomba kilomita 28
• Ujenzi wa vituo 17 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa tenki la kupozeshea maji (BPT) moja
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki yote mawili
• Ujenzi wa Malambo mawili ya kunyweshea mifugo eneo la Kisekela na Ndete

KATA YA LUDEWA MJINI: MRADI WA MAJI LUDEWA MJINI

• Gharama za mradi: Tsh. 7,415,000,000.
• Kiasi kilichopokelewa na kulipwa Tsh. 1,131,000,000.00
• Mradi utahudumia wakazi: 10,066
• Kukamilika kwa mradi kutaongeza huduma kutoka 67% ya sasa hadi 100%
• Mradi umetekelezwa kwa 33%

✅Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa kidakio cha maji kipya (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa Tank la zege la lita 500,000 (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa vioski vitatu
• Ulazaji wa bomba kuu la maji 21km
• Ukarabati wa Matenk ya Kilimahewa (200m3-block na 240m3-mawe)
• Ukarabati na upanuzi wa mtandao wa bomba 26.42km
• Ununuzi na ufungaji wa Dira za Maji 524
(Utekelezaji wa mradi unaendelea)

KATA YA MANDA: MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IGALU

• Gharama za mkataba ujenzi wa mradi (Mkandarasi): Tsh. 130,732,000.00 (VAT exclusive).
• Mradi utahudumia wakazi: 667
• Mradi umetekelezwa kwa 55%
-Kazi zitakazo tekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa tenki la maji 50m3
• Uchimbaji wa mitaro 8.6km na ulazaji wa bomba 3.5km
• Ujenzi wa 6 vituo vya kuchotea maji
• Uchimbaji wa kisima kirefu, ufungaji wa pampu na mfumo wa Solar

#LudewaYetu #Ludewa

WhatsApp Image 2023-12-18 at 13.58.33.jpeg
WhatsApp Image 2023-12-18 at 13.58.34.jpeg
 
Back
Top Bottom