Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,316
12,614
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kama mikipewa uongozi wa nchi kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi wapinzani mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi badala ya kujikita kwenye hoja na mbinu za kuwasaidia watanzania kwenye shida zao za msingi zinazowatafuna. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu badala ya kuokoteza matukio.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi ya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo, shida za wananchi zinabakia palepale vilevile hata wakibadilisha vyama tawala na viongozi wakuu. Hii inamaana kuwa tatizo sio katiba zao wala tume zao za UCHAGUZI wala rasilimali wala vyama tawala wala viongozi peke yake, bali tatizo liko nje ya bara la afrika na ndani ya mindsets za watu wetu.
 
To their own...

Wewe fanya unachofanya nao wao wafanye wanachofanya (at least wanapiga hizo blah blah) Ila kama mwananchi una haki kuwalaumu na kuwapigia makelele waliopo serikalini, Rais na Wabunge sababu unawalipa...

In in reality wanaoweza kujikwamua katika lindi la umasikini ni wananchi wenyewe kwa umoja wao na sio wanasiasa au illusion ya kwamba serikali au mwanasiasa yupo kwa niaba yao; wengi wanatumika kama ngazi ya walaji...

Kwa hio busara ni kusikiliza issues na watu kuongelea issues na hili la Bandari ni Issue pia; Haimaanishi wakiongelea jingine hili haliongeleki - Na kwa sasa hili ni main agenda sababu effects zake huenda zikaicost Tanzania to infinity (kwa hio hili sio la kuongelewa na Mwanasiasa pekee bali kila Mtanzania ni stakeholder na hakatazwi kuliongelea); Na ni kosa kwa Watawala / Walamba Asali kuingia mikataba ya rasilimali ya nchi kwa siri (hili neno Siri ya Mikataba ni Cancer kubwa sana iliyobidi iondolewe jana na sio leo)
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili Yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo. Mpaka Leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.
2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.
3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.
4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.
5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.
6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale. Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Huwezi kutofautisha mbegu,shamba namavuno,lengo hoja yako nikupinga kujadiri mikataba nihivi mbegu ni siasa nashamba ni nchi mavuno nimatokeo yakile ulichokipanda,kumbuka kati kati ya mbegu na mavuno kuna michakato mingi inapitia,unahitaji shamba (wanasiasa,)ambalo utapanda mbegu yako hapo,unahitaji usimamizi thabiti ili upate mavuno,mavuno nihayo ambayo unasema wapinzani wakawahubirie wananchi maji,umeme ,afya,elimu,ajira nk, Tuna nchi yenye rasilimali tumewapa watu miongoni mwetu wasimamie ili tupate mahitaji yeti muhimu kama hayo, kwahiyo tatizo sio mavuno wala wanaohitaji mavuno bali tuliowakabidhi kusimamia mavuno kufikisha kwa wenye shamba, vyama vya siasa vimeundwa nawananchi ndohao wako mjini na vijijini, sasa huwezi kupata hivyo vyote unavyosema wananchi wanakosa Kama rasilimali za nchi hazisimamiwi ipasavyo au pesa za uma zikiliwa,zaidi Yahilo chama cha siasa mbali namarengo yakutaka kuwaongoza nakusimamia nakusimamia rasilimali za nchi ni jukwaa lakuwasemea wananchi,,
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Wewe kunguni unaona nchi kuuzwa siyo hoja!!?? mavi ya bata wewe na wenzako!
 
To each / her own...

Wewe fanya unachofanya nao wao wafanye wanachofanya (at least wanapiga hizo blah blah) Ila kama mwananchi una haki kuwalaumu na kuwapigia makelele waliopo serikalini, Rais na Wabunge sababu unawalipa...

In in reality wanaoweza kujikwamua katika lindi la umasikini ni wananchi wenyewe kwa umoja wao na sio wanasiasa au illusion ya kwamba serikali au mwanasiasa yupo kwa niaba yao; wengi wanatumika kama ngazi ya walaji...

Kwa hio busara ni kusikiliza issues na watu kuongelea issues na hili la Bandari ni Issue pia; Haimaanishi wakiongelea jingine hili haliongeleki - Na kwa sasa hili ni main agenda sababu effects zake huenda zikaicost Tanzania to infinity (kwa hio hili sio la kuongelewa na Mwanasiasa pekee bali kila Mtanzania ni stakeholder na hakatazwi kuliongelea); Na ni kosa kwa Watawala / Walamba Asali kuingia mikataba ya rasilimali ya nchi kwa siri (hili neno Siri ya Mikataba ni Cancer kubwa sana iliyobidi iondolewe jana na sio leo)
Mkuu huyo kunguni na wenzie wanaelewa kweli masuala haya ya uwajibikaji na utawala bora!? shule unayowapiga uzeeni? Hawa wanasema "nani kama mama" hata akiyapiga kodi yote!!
 
Umeeleza vizuri shida zote zinazowakabili kiasi watanzania asilimia tisini 90% !

Ila umebananga uliposema eti Katiba mpya haihusiani na vyote ulivyovieleza 😅😅 !

Short and clear ni kwamba ili uweze kubadili hizo hali mbaya ulizozieleza inabidi upate pamoja na mambo mengine lakini pia upate Viongozi bora !!
Viongozi bora wa secta zote watapatikana endapo tu Katiba mpya bora itapatikana !! Na si vinginevyo !!
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.

Anzisha chama ili ukahubiri hayo wewe.
 
Peleka wewe hzo hoja , kama rasilimali zinagawiwa hovyo Kwa watu wengine hayo maji utayapataje we kiazi
Mikataba ya madini nchi kupewa 3% na Wazungu na Wazungu kusafirisha makinikia kwenda kwao wapinzani mlifanya nini? Nchi ilivuna nini kama matunda ya uwepo wenu? Mnachofanya nyinyi ni "nuisance" kwa watawala na serikali. Ni heri ya huu anaekodisha bandari angalau anatafuta utofauti katika kuleta ahueni kwa wananchi, Nia yake ni njema hata kama atakosea kidogo kuliko wizi na underperformance kwenye bandari.
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi vya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo.
Wee mjinga sana, yaani ardhi yetu kuuzwa siyo muhimu kwa wananchi? Inaelekea hata mke wako akitoroshwa utakenua meno tu kushangilia!
 
To each / her own...

Wewe fanya unachofanya nao wao wafanye wanachofanya (at least wanapiga hizo blah blah) Ila kama mwananchi una haki kuwalaumu na kuwapigia makelele waliopo serikalini, Rais na Wabunge sababu unawalipa...

In in reality wanaoweza kujikwamua katika lindi la umasikini ni wananchi wenyewe kwa umoja wao na sio wanasiasa au illusion ya kwamba serikali au mwanasiasa yupo kwa niaba yao; wengi wanatumika kama ngazi ya walaji...

Kwa hio busara ni kusikiliza issues na watu kuongelea issues na hili la Bandari ni Issue pia; Haimaanishi wakiongelea jingine hili haliongeleki - Na kwa sasa hili ni main agenda sababu effects zake huenda zikaicost Tanzania to infinity (kwa hio hili sio la kuongelewa na Mwanasiasa pekee bali kila Mtanzania ni stakeholder na hakatazwi kuliongelea); Na ni kosa kwa Watawala / Walamba Asali kuingia mikataba ya rasilimali ya nchi kwa siri (hili neno Siri ya Mikataba ni Cancer kubwa sana iliyobidi iondolewe jana na sio leo)
Wanasiasa wetu wa upinzani wanahangaika na matukio badala uhalisia wa mambo kwa ujumla wake. Wanalalamika bila kutoa suluhu nini kifanyike. Walipaswa kuandamana baada ya ripoti ya CAG kuhusu umbadhilifu, walipaswa kuandamana kupinga ukosefu wa pembejeo kwa wakulima na wafugaji, walipaswa kuandamana kupinga ukosefu wa maji kwakuwa hitu vyote hivyo having uhusiano na katiba mpya. Maana katiba ya Sasa haizuii watu kupewa maji, chakula, elimu, mishahara mikubwa Wala ajira. Badala yake wanahangaika na Rais anaetaka kufanya mapinduzi kwenye bandari, maji, umeme, usafirishaji, michezo nk. Hakuna mwananchi mwenye akili atakaewaekewa. Hizi ni jitihada za wivu na kutaka kuingia Ikulu na wakishafika Ikulu wanakenua TU. Ruto alililia kwenda Ikulu na akafika Ikulu, je, wakenya wanapata ahueni gani chini ya Ruto? Ndugu zangu tatizo letu sio katiba Wala Chama tawala, bali tatizo letu ni zaidi ya katiba na Chama kilichoko madarakani, tusiwafanye watu kama vile hawana akili. Ukimuuliza mwananchi wa kule nanjilinji kuhusu bandari atakushangaa sana. Wewe muulize habari za umeme, dawa, barabara, masoko, maji ya kufulia nk.
 
Wewe kunguni unaona nchi kuuzwa siyo hoja!!?? mavi ya bata wewe na wenzako!
Ni mjinga pekee atakubaliana na upuuzi wako eti kuwa nchi inauzwa? Hebu niambie wakatoliki wanaomiliki ardhi Tanzania kiasi gani? Kumbuka kula kila mahali ilipo taasisi ya kikatoliki ni sehemu kamili ya Vatican, kila kitu kinachozalishwa kwenye ardhi hiyo kinafahamika na kinafika Vatican. Kwenye bandari sio hivyo, wao wanawekeza TU na Faida tunagawana.
 
HIvi akili ndogo hivi? Kulinganisha taasisi ya kanisa na huu wizi? Kwa hiyo bado unajenga hoja ya UDINI? Bandari yetu maskini!
 
Back
Top Bottom