Waziri Nape Nnauye teketeza magrupu ya mitandao yanayoshea maudhui ya video chafu, hali ni mbaya

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,736
Waziri mwenye dhamana Nape Nauye hili jukumu lipo mikononi mwako kama unaweza kuwakamata watu waliozusha/kurusha maudhui ya uongo kwa kusema kuwa Makamo wa Rais Dr. Philip Mpango kuwa ametangulia mbele ya haki na ni kitu ambacho si cha kweli.

Waziri Nape Nnauye Sasa mitaa imechafuka sana yaani hali ni mbaya tukianzia kwenye Magrup ya Telegrams, WhatsApp, Badoo nk huko kuna hatari sana watoto wadogo /watanzania wenzetu/wadogo zetu wanafanya mapenzi nakujiposti bila hata ya kua na wasi wasi limekua ni jambo la kawaida sana kwenye mitandao.

Waziri Nape Nauye hilo linzaidi kujua kwa Kasi sana kwa kua hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria akawa mfano kwa wengine na tabia kuisha au kupungungua.

Waziri Nape, mafano mzuri tu tumeona na tunaona baadhi ya wasanii wetu wa kitanzania wanao amini kurusha videos/picha za uchi katika mtandao no kufanya mziki wao ukue akiwemo msanii Gigy money video yake akifanya mapenzi/akiingiliwa kwa kweli ni Jambo la aibu sana katika taifa letu.

Waziri Nape Nauye Kama lisipozibitiwa hili Basi tutegemee kizazi cha ajabu sana kizazi kisicho kuwa na aibu ndani yake nasema hivyo kwa sababu saivi watoto zetu/wadogo zetu wanatumia mitandao kusoma sasa ikitokea anakutana na vitu kama hivyo basi mtoto lazima apotee mazima.

Maoni Yangu: serikali kupitia TCRA wawe wakali kwa kutumia sheria walizozitunga ili kudhibiti huu uozo unaoendelea katika mitandao.

Na nikuombe Waziri mwenye dhamana hii Mh. Nape Mnauye shughulika na warusha maudhui machafu (ngono) katika mitandao kisha kamata hao waliomzushia kifo Dr. Philipo Mpango kwani kwa kufanya hivyo utakua umeinusuru jamii pakubwa mno.

Nawasilisha hoja.
 
Wenye dhamana na hayo mambo wanashangilia kwa kupiga ngumi hewani kwani kampeni yao inaenda vizuri na kwa haraka sana. Kule X ni uwanja wa X kwelikweki
 
MITANDAO IMEKUWA SIO SEHEMU SALAMA TENA. JF PIA HAKUNA USALAMA ILA KUNA UNAFUU. WENYE AKILI SAIVI SIMU ZIMEKUWA KWA AJILI YA KUONGEA, KUTUMA MESSAGE ILA SIO TENA KU-INTERACT KWENYE SOCIAL MEDIAS.
 
Suluhisho sio Mhe. NAPE suluhisho ni mfumo wa uwajibikaji kwa kufuata sheria tulizojiwekea.

NACHUKIA SANA KUONA TUNAIKUMBUSHA SERIKALI WAJIBU WAKE, CCM KAMA KUTUONGOZA MMESHINDWA ACHIENI MADARAKA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
KWELI MKUU SAIVI HATA KUMUACHIA SIMU MWANAO ACHEZE GAME NI HATARI SANA.
 
Kama wewe ni mtumiaji wa X ( formerly Twitter utakua sio mgeni wa hichi kitu.

Hii issue ilitokea kama miezi 2 iliyopita na walivyomuumbua aliiblock ile page, ila mwenye page aliendelea kumuandama sana na ilitrend pia.
Dooooh Aibu hiii.
 
Waziri mwenye dhamana Nape Nauye hili jukumu lipo mikononi mwako kama unaweza kuwakamata watu waliozusha/kurusha maudhui ya uongo kwa kusema kuwa Makamo wa Rais Dr. Philip Mpango kuwa ametangulia mbele ya haki na ni kitu ambacho si cha kweli.

Waziri Nape Nnauye Sasa mitaa imechafuka sana yaani hali ni mbaya tukianzia kwenye Magrup ya Telegrams, WhatsApp, Badoo nk huko kuna hatari sana watoto wadogo /watanzania wenzetu/wadogo zetu wanafanya mapenzi nakujiposti bila hata ya kua na wasi wasi limekua ni jambo la kawaida sana kwenye mitandao.

Waziri Nape Nauye hilo linzaidi kujua kwa Kasi sana kwa kua hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria akawa mfano kwa wengine na tabia kuisha au kupungungua.

Waziri Nape, mafano mzuri tu tumeona na tunaona baadhi ya wasanii wetu wa kitanzania wanao amini kurusha videos/picha za uchi katika mtandao no kufanya mziki wao ukue akiwemo msanii Gigy money video yake akifanya mapenzi/akiingiliwa kwa kweli ni Jambo la aibu sana katika taifa letu.

Waziri Nape Nauye Kama lisipozibitiwa hili Basi tutegemee kizazi cha ajabu sana kizazi kisicho kuwa na aibu ndani yake nasema hivyo kwa sababu saivi watoto zetu/wadogo zetu wanatumia mitandao kusoma sasa ikitokea anakutana na vitu kama hivyo basi mtoto lazima apotee mazima.

Maoni Yangu: serikali kupitia TCRA wawe wakali kwa kutumia sheria walizozitunga ili kudhibiti huu uozo unaoendelea katika mitandao.

Na nikuombe Waziri mwenye dhamana hii Mh. Nape Mnauye shughulika na warusha maudhui machafu (ngono) katika mitandao kisha kamata hao waliomzushia kifo Dr. Philipo Mpango kwani kwa kufanya hivyo utakua umeinusuru jamii pakubwa mno.

Nawasilisha hoja.

Kwani huko unalazimishwa kwenda?
 
Suluhisho sio Mhe. NAPE suluhisho ni mfumo wa uwajibikaji kwa kufuata sheria tulizojiwekea.

NACHUKIA SANA KUONA TUNAIKUMBUSHA SERIKALI WAJIBU WAKE, CCM KAMA KUTUONGOZA MMESHINDWA ACHIENI MADARAKA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwa hiyo hiki nilichokiandika kwenda kwa Waziri mwenye Dhamana NIMEKOSEA??
 
NALIA NGWENA kama wewe inakukera, haimaanishi ya kwamba wengine haitupendezi!

Wengine sisi kwetu ni fantasy!... Sawasawa na Nape ambae nae ni mdau wa hayo mapilau...

Hawezi kuliongelea hilo public kwa kuwa yeye mwenyewe ni mdau!....na ana skendo ya kuwa mpenzi kindakindaki ! wa hayo mavituz!

Pia sidhani kama unalazimishwa kujiunga huko!?... Bali ni wewe mwenyewe!... Unajiunga kwa hiari
 
Back
Top Bottom