Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

field marshall1

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,171
2,730
Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel.

Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi na vifo vya watanzania vijana wadogo kama wajukuu zako au umeona hawana umuhimu kama alivyo EMIR wa Kuwait aliyekufa na umri mkubwa ambaye hata huku Arabuni hawasikitiki? What a hypocrisy madam president, unajikomba au.

Hizi habari za watanzania kuuawa hata hazipo kwenye magazeti yenu bali tunasoma kwenye magazeti ya nje, mbona wizara ya mambo ya nje imenyamaza na wakubwa mmenyamaza?

Kwa hilo tumeanza kushtuka kwamba viongozi ninyi ni watu wa namna gani. Kwa kifupi ni wanafiki.
 
Jmaaa yang hata diplomasia hujui.condolelence saa nyingine hata mkuu gato yeye ispokuwa wat wa itifaki
 
Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel.

Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi na vifo vya watanzania vijana wadogo kama wajukuu zako au umeona hawana umuhimu kama alivyo EMIR wa Kuwait aliyekufa na umri mkubwa ambaye hata huku Arabuni hawasikitiki? What a hypocrisy madam president, unajikomba au.

Hizi habari za watanzania kuuawa hata hazipo kwenye magazeti yenu bali tunasoma kwenye magazeti ya nje, mbona wizara ya mambo ya nje imenyamaza na wakubwa mmenyamaza?

Kwa hilo tumeanza kushtuka kwamba viongozi ninyi ni watu wa namna gani. Kwa kifupi ni wanafiki.
Sisiemu ni mafiii bedui samia na kikwete na rostam wameigeuza hii nchi kama cqupi yao
 
CCM wanachoangalia ni maslahi yao na misaada huyu Amiri alituma Rambirambi kwenye msiba wa Jiwe.

Kwa akili zao hata wanafikiria Vijana wa Kitanzania waliouwawa kikatili na Magaidi wa Hamas walikuwa ni CHADEMA.
 
Back
Top Bottom