Rais Samia amefanikiwa na kufaulu kuleta pambazuko la uchumi kwa Mamilioni ya watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Katika kitu Rais Samia na Serikali yake amefanikiwa kuwapatia zawadi na kukonga nyoyo za mamilioni ya watanzania na kuondoa manung'uniko kwa watu, ni kile kitendo na hatua yake ya kujenga uchumi unaogusa Watanzania walio wengi,jambo ambalo amelifanya kisayansi na kwa utafiti mzuri.

Kwanza ni kwa kuwekeza mabillioni ya pesa za kitanzania katika Secta inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania ambayo ni Secta ya kilimo. Mfano Katika suala la bajeti mh Rais Samia amefanikiwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka Billion mia mbili mpaka kufikia zaidi ya Billion mia tisa 70. Lakini pia tuliona Rais Samia na Serikali yake akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku hatua iliyoleta matokeo chanya katika uchumi wetu na maendeleo ya watu.

Kwa sababu hatua hii iliwezesha upatikanaji wa pembejeo hasa mbolea kwa bei ambayo mkulima anaimudu, hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza mavuno pamoja na kipato cha kaya moja moja. Hali iliyopelekea kupunguza umaskini kwa kaya nyingi.kwa sababu pia serikali iliweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa soko la uhakika kwa mazao na kumpa uhuru mkulima kuuza mazao yake mahali palipo na bei nzuri kwa kauli mbiu ya kilimo ni biashara.

Jambo ambalo lilipelekea vijana wengi sana na wengine wengi kujitupa katika kilimo na kuona kilimo kikiwa mkombozi na daraja la kuwavusha kutoka katika hali ya umaskini kwenda katika hali ya kipato cha kuleta Tabasamu, furaha na matumaini. Ndio maana tunaona kwa sasa watu wakijenga nyumba bora kila uchwao, watu wakisomesha watoto wao popote watakapo, watu wakifungua miradi mbalimbali ya kuwaingizia kipato cha kila siku, watu wakipata milo mitatu bila shida, watu wakiwa na nyuso za furaha na tabasamu.

Lakini hali hii imepelekea watu kuwa na utulivu kutokana na kuwepo kwa hali nzuri ya upatikanaji wa chakula nchini pamoja na kupunguza tofauti ya wenye nacho na wasio nacho na hivyo kuondoa ile chuki mioyoni mwa watu. Ikumbukwe ya kuwa ukigusa kilimo umegusa maisha ya mamilioni ya watanzania. Ukikipa bajeti ya kutosha kilimo maana yake umewapa pesa keshi mamilioni ya watanzania ambao asilimia kubwa wanategemea kilimo kama shughuli kuu ya kiuchumi.

Hii ndio sababu ya watanzania kumwita Rais samia kama Mama wa uchumi, shujaa wa Afrika, chuma cha Reli, jasiri muongoza njia, komandoo wa vita na nuru ya wanyonge. Kwa sasa watanzania wana shiba vizuri kwa kuwa ugali na unga vinapatikana kwa bei nafuu ,ndio maana ni wasikivu na wametulia kwa kuwa huwezi kumuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula.lakini kwa sasa Watanzania wanakula matunda ya jasho la mikono yao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Pesa zinafika mpaka huku mikoani .ndio maana tuliona pesa kama Ruzuku zikileta matokeo chanya ambayo kila mtu aliona matunda yake kwa kushuhudia bei ya mbolea ikishuka.
Utawala wa magu mfuko wa mbolea ilikuwa bei gani
Na utawala wa s100 mfuko bei gani?
Halafu hizo mbolea kupanda ma kushuka kwa bei ni ndani ya utawala wa chadema au ccm?
 
Mkuu kwani wwe huwa unaishi nchi gani?
Haya unayoyasema hayako Tanznia
 
Utawala wa magu mfuko wa mbolea ilikuwa bei gani
Na utawala wa s100 mfuko bei gani?
Halafu hizo mbolea kupanda ma kushuka kwa bei ni ndani ya utawala wa chadema au ccm?
Kwanza tambua ya kuwa bei ya mbolea haikupandishwa na serikali ya Rais samia bali ilikuwa ni mfumuko wa bei katika soko la Dunia,kulikokuwa kumechangiwa na vita vya ukrein na hivyo kupelekea kushuka kwa uzalishaji na hivyo kutokea kwa upungufu ukilinganisha na mahitaji hali iliyopelekea kuongezeka kwa bei kwa ile mbolea iliyokuwa inapatikana. Ndio maana kwa hali hiyo serikali iliamua kubeba gharama kwa niaba ya mkulima kwa kutoa Ruzuku ili mkulima asielemewe na mzigo wa bei kubwa na hivyo kupunguza kiwango cha uzalishaji ambacho kingeleta umasikini kwa kaya nyingi zinazotegemea kilimo kama shughuli kuu ya uchumi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika kitu Rais Samia na Serikali yake amefanikiwa kuwapatia zawadi na kukonga nyoyo za mamilioni ya watanzania na kuondoa manung'uniko kwa watu, ni kile kitendo na hatua yake ya kujenga uchumi unaogusa Watanzania walio wengi,jambo ambalo amelifanya kisayansi na kwa utafiti mzuri.

Kwanza ni kwa kuwekeza mabillioni ya pesa za kitanzania katika Secta inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania ambayo ni Secta ya kilimo. Mfano Katika suala la bajeti mh Rais Samia amefanikiwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka Billion mia mbili mpaka kufikia zaidi ya Billion mia tisa 70. Lakini pia tuliona Rais Samia na Serikali yake akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku hatua iliyoleta matokeo chanya katika uchumi wetu na maendeleo ya watu.

Kwa sababu hatua hii iliwezesha upatikanaji wa pembejeo hasa mbolea kwa bei ambayo mkulima anaimudu, hali iliyochochea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuongeza mavuno pamoja na kipato cha kaya moja moja. Hali iliyopelekea kupunguza umaskini kwa kaya nyingi.kwa sababu pia serikali iliweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa soko la uhakika kwa mazao na kumpa uhuru mkulima kuuza mazao yake mahali palipo na bei nzuri kwa kauli mbiu ya kilimo ni biashara.

Jambo ambalo lilipelekea vijana wengi sana na wengine wengi kujitupa katika kilimo na kuona kilimo kikiwa mkombozi na daraja la kuwavusha kutoka katika hali ya umaskini kwenda katika hali ya kipato cha kuleta Tabasamu, furaha na matumaini. Ndio maana tunaona kwa sasa watu wakijenga nyumba bora kila uchwao, watu wakisomesha watoto wao popote watakapo, watu wakifungua miradi mbalimbali ya kuwaingizia kipato cha kila siku, watu wakipata milo mitatu bila shida, watu wakiwa na nyuso za furaha na tabasamu.

Lakini hali hii imepelekea watu kuwa na utulivu kutokana na kuwepo kwa hali nzuri ya upatikanaji wa chakula nchini pamoja na kupunguza tofauti ya wenye nacho na wasio nacho na hivyo kuondoa ile chuki mioyoni mwa watu. Ikumbukwe ya kuwa ukigusa kilimo umegusa maisha ya mamilioni ya watanzania. Ukikipa bajeti ya kutosha kilimo maana yake umewapa pesa keshi mamilioni ya watanzania ambao asilimia kubwa wanategemea kilimo kama shughuli kuu ya kiuchumi.

Hii ndio sababu ya watanzania kumwita Rais samia kama Mama wa uchumi, shujaa wa Afrika, chuma cha Reli, jasiri muongoza njia, komandoo wa vita na nuru ya wanyonge. Kwa sasa watanzania wana shiba vizuri kwa kuwa ugali na unga vinapatikana kwa bei nafuu ,ndio maana ni wasikivu na wametulia kwa kuwa huwezi kumuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula.lakini kwa sasa Watanzania wanakula matunda ya jasho la mikono yao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Aisee Mashambwa navumilia sana nisicomment ila unaboa bhana kha!!
 
Anatoa mabilioni kutoka wapi?

Tuseme kwa akili ya kichwa siyo makalio.

Hizi ni kodi zetu, na wanatoa chenji baada ya kutupiga mabilioni kadhaa.

Eti Samia, atakuwa yeye?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom