Samia rudisha pesa za walimu wakuu, sio maamuzi yao

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana walikuwa na mkutano wao jijini mwanza ukumbi wa Kwa tunza Beach jirani kidogo na Malaika Beach resort

Huu mkutano ulikuwa umejaa makada wa CCM tupuuu, yani viongozi wa serikali ni wachache ila viongozi wa CCM kama wote kuanzia shina, tawi mpaka taifa wote walijazana. Agenda kubwa ni Samia tuu mwanzo mwisho, yani mpaka semina inaisha Samia katajwa mara nyingi kuliko kitu chochote.. Mda wote waliweka mikakati ya kumpa sifa Samia huku shida zao zimetupwa kapuni

Walimu wakuu hawajitambui tu, yes nasema hawajitambui. Ebu fikiria huu mwezi unaenda wa tatu hawajapewa hata posho zao za madaraka (responsibility allowance), hapa Katikati kulikuwa na mitihani ya taifa form four na two, wasimamizi wa mitihani hulishwa chakula na mkuu wa shule Kwa kutumia pesa za mfuko wa shule (capitation grants), hizi pesa bado haijafika inabidi wakuu wa shule watumie pesa zao mfukoni kulisha wasimamizi kama huna pesa unaenda kukopa kausha damu

Hawa hawa wakuu wa shule wameenda kwenye semina lakini cha ajabu hawajalipwa pesa za semina (per diem). Kumbuka TAHOSSA wana mfuko wao ambao wakuu wa shule huwa wanadonate lakini cha ajabu semina yenyewe walimu wamechanga 60000 kila mmoja huku wengine wakitoka lindi na mtwara, songea na sumbawanga ni mbali saana wanakuja mwanza siku Tatu bila malipo yoyote Yale Kwa kigezo eti pesa watachukua kwenye mfuko wa shule, Kwa bajeti ipi Kati mfuko wa shule pesa zenyewe huwa kiduchu tu shule Zina madeni hadi aibu hapo hapo mpaka saizi pesa za elimu bure hazijaingia Sasa watachukua kwenye mfuko wa sweta au

Wakuu wa shule hawa hawa walipangiwa tarehe ya kikao itakuwa tar 10 mwezi huu lakini ajabu watu wamesafiri kutoka mikoa ya mbali wamefika mwanza wanaambiwa tarehe imeahirishwa Rais yupo na shughuli zingine (walikuwa wamemwarika awe mgeni rasmi) kwahiyo tarehe zikasogezwa, maanake inabidi ujue mwenyewe unaishi jiji la mwanza mpaka tar itakapofika ambayo ni siku nne zijazo au urudi ulipotoka huku nauli Zipo juu

Walimu wana matatizo kibao, mwisho wa siku semina yenyewe huyo Samia hakufika, wanashangaa anaingia Ndejembi, siku iliyofaya msonde baada ya hapo mchengerwa, waziri mwenyewe hata salamu za walimu hatoi anaanza na Samia oyeeee, nao panyabook wanaitikia, ajenda ni kumchukulia form ya urais Samia. Wakaanza kutoa akiba zao mfukoni hata pesa ya nauli wakakopeshana

Huu ni uonevu period!!
 
Itakua wamelazimishwa kwa maagizo maalumu
Yeah sure! Ipo hivi, usipotoa basi wewe ukuu wa shule bye bye. Mtumishi wa umma ana haki ya kuwa na chama chochote cha kisiasa, sio lazima wote wawe ccm sasa wanapochangisha fedha za kumchukulia form kwani umeambiwa wote ni nzi wa kijani pale?? Unakuja kumkaba mwalimu ametoka mbali kapauka unataka atoe pesa ya form ya urais ambae anatapanya pesa kwenye mipira ya simba na yanga?? Idiot
 
Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana walikuwa na mkutano wao jijini mwanza ukumbi wa Kwa tunza Beach jirani kidogo na Malaika Beach resort

Huu mkutano ulikuwa umejaa makada wa CCM tupuuu, yani viongozi wa serikali ni wachache ila viongozi wa CCM kama wote kuanzia shina, tawi mpaka taifa wote walijazana. Agenda kubwa ni Samia tuu mwanzo mwisho, yani mpaka semina inaisha Samia katajwa mara nyingi kuliko kitu chochote.. Mda wote waliweka mikakati ya kumpa sifa Samia huku shida zao zimetupwa kapuni

Walimu wakuu hawajitambui tu, yes nasema hawajitambui. Ebu fikiria huu mwezi unaenda wa tatu hawajapewa hata posho zao za madaraka (responsibility allowance), hapa Katikati kulikuwa na mitihani ya taifa form four na two, wasimamizi wa mitihani hulishwa chakula na mkuu wa shule Kwa kutumia pesa za mfuko wa shule (capitation grants), hizi pesa bado haijafika inabidi wakuu wa shule watumie pesa zao mfukoni kulisha wasimamizi kama huna pesa unaenda kukopa kausha damu

Hawa hawa wakuu wa shule wameenda kwenye semina lakini cha ajabu hawajalipwa pesa za semina (per diem). Kumbuka TAHOSSA wana mfuko wao ambao wakuu wa shule huwa wanadonate lakini cha ajabu semina yenyewe walimu wamechanga 60000 kila mmoja huku wengine wakitoka lindi na mtwara, songea na sumbawanga ni mbali saana wanakuja mwanza siku Tatu bila malipo yoyote Yale Kwa kigezo eti pesa watachukua kwenye mfuko wa shule, Kwa bajeti ipi Kati mfuko wa shule pesa zenyewe huwa kiduchu tu shule Zina madeni hadi aibu hapo hapo mpaka saizi pesa za elimu bure hazijaingia Sasa watachukua kwenye mfuko wa sweta au

Wakuu wa shule hawa hawa walipangiwa tarehe ya kikao itakuwa tar 10 mwezi huu lakini ajabu watu wamesafiri kutoka mikoa ya mbali wamefika mwanza wanaambiwa tarehe imeahirishwa Rais yupo na shughuli zingine (walikuwa wamemwarika awe mgeni rasmi) kwahiyo tarehe zikasogezwa, maanake inabidi ujue mwenyewe unaishi jiji la mwanza mpaka tar itakapofika ambayo ni siku nne zijazo au urudi ulipotoka huku nauli Zipo juu

Walimu wana matatizo kibao, mwisho wa siku semina yenyewe huyo Samia hakufika, wanashangaa anaingia Ndejembi, siku iliyofaya msonde baada ya hapo mchengerwa, waziri mwenyewe hata salamu za walimu hatoi anaanza na Samia oyeeee, nao panyabook wanaitikia, ajenda ni kumchukulia form ya urais Samia. Wakaanza kutoa akiba zao mfukoni hata pesa ya nauli wakakopeshana

Huu ni uonevu period!!
Toka nijiunge JF leo ndio nimeona umetoa bandiko bora sana sijui hapo kabla sijaja.
Ngoja leo nimtimbie huyu Mkuu wa shule jirani na nyumbani hapa maana toka mitihani ya kidato cha pili inaanza kakopa kuku 9 na mikungu 6 ya ndizi hapa nyumbani eti alikuwa akiwalisha wasimamizi wa mitihani.

Mwezi November nilimfuata siku hiyo pia nikakuta kuna mzabuni sijui anayeipatia shule bidhaa za stationary wakawa wanapena makavu eneo la uwanjani huku mitihani ya kidato cha 4 ikiendelea.

Hata mimi ninaamini wamefanya upuuzi huo wa kutoa maji Kongwa na kupeleka Unguja ila siyo kwa hiari yao,bali kwa kutishiwa na kwa uoga wao na uroho wa madaraka basi wakajipendekeza.
 
Hofu ya kukosa na kuumizwa IPO mstari wa mbele katika mbinu zao za kumkamata Msukule muoga.
 
Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana walikuwa na mkutano wao jijini mwanza ukumbi wa Kwa tunza Beach jirani kidogo na Malaika Beach resort

Huu mkutano ulikuwa umejaa makada wa CCM tupuuu, yani viongozi wa serikali ni wachache ila viongozi wa CCM kama wote kuanzia shina, tawi mpaka taifa wote walijazana. Agenda kubwa ni Samia tuu mwanzo mwisho, yani mpaka semina inaisha Samia katajwa mara nyingi kuliko kitu chochote.. Mda wote waliweka mikakati ya kumpa sifa Samia huku shida zao zimetupwa kapuni

Walimu wakuu hawajitambui tu, yes nasema hawajitambui. Ebu fikiria huu mwezi unaenda wa tatu hawajapewa hata posho zao za madaraka (responsibility allowance), hapa Katikati kulikuwa na mitihani ya taifa form four na two, wasimamizi wa mitihani hulishwa chakula na mkuu wa shule Kwa kutumia pesa za mfuko wa shule (capitation grants), hizi pesa bado haijafika inabidi wakuu wa shule watumie pesa zao mfukoni kulisha wasimamizi kama huna pesa unaenda kukopa kausha damu

Hawa hawa wakuu wa shule wameenda kwenye semina lakini cha ajabu hawajalipwa pesa za semina (per diem). Kumbuka TAHOSSA wana mfuko wao ambao wakuu wa shule huwa wanadonate lakini cha ajabu semina yenyewe walimu wamechanga 60000 kila mmoja huku wengine wakitoka lindi na mtwara, songea na sumbawanga ni mbali saana wanakuja mwanza siku Tatu bila malipo yoyote Yale Kwa kigezo eti pesa watachukua kwenye mfuko wa shule, Kwa bajeti ipi Kati mfuko wa shule pesa zenyewe huwa kiduchu tu shule Zina madeni hadi aibu hapo hapo mpaka saizi pesa za elimu bure hazijaingia Sasa watachukua kwenye mfuko wa sweta au

Wakuu wa shule hawa hawa walipangiwa tarehe ya kikao itakuwa tar 10 mwezi huu lakini ajabu watu wamesafiri kutoka mikoa ya mbali wamefika mwanza wanaambiwa tarehe imeahirishwa Rais yupo na shughuli zingine (walikuwa wamemwarika awe mgeni rasmi) kwahiyo tarehe zikasogezwa, maanake inabidi ujue mwenyewe unaishi jiji la mwanza mpaka tar itakapofika ambayo ni siku nne zijazo au urudi ulipotoka huku nauli Zipo juu

Walimu wana matatizo kibao, mwisho wa siku semina yenyewe huyo Samia hakufika, wanashangaa anaingia Ndejembi, siku iliyofaya msonde baada ya hapo mchengerwa, waziri mwenyewe hata salamu za walimu hatoi anaanza na Samia oyeeee, nao panyabook wanaitikia, ajenda ni kumchukulia form ya urais Samia. Wakaanza kutoa akiba zao mfukoni hata pesa ya nauli wakakopeshana

Huu ni uonevu period!!
Sawa teacher!!!
Samia amesikia, atalitazama...
 
Watu wamelazimishwa kulipa hela toka mifukoni mwao kwa jina la tapsha, tohara sijui tapnini halafu chawa wanaenda kujipendekeza kwa mtu ambae hata hajali wanapolala (kubanana kwenye vibanda vinavyovuja) mbali na mishahara midogo wanayopokea.
 
Uoga ni kitu kibaya sana kwenye hii Dunia. Ukitaka kukosa amani kwenye kila kitu unachokifanya hapa Duniani basi endekeza uoga. Umoja wa wakuu wa shule za sekondari Tanzanian (TAHOSSA) wiki jana walikuwa na mkutano wao jijini mwanza ukumbi wa Kwa tunza Beach jirani kidogo na Malaika Beach resort

Huu mkutano ulikuwa umejaa makada wa CCM tupuuu, yani viongozi wa serikali ni wachache ila viongozi wa CCM kama wote kuanzia shina, tawi mpaka taifa wote walijazana. Agenda kubwa ni Samia tuu mwanzo mwisho, yani mpaka semina inaisha Samia katajwa mara nyingi kuliko kitu chochote.. Mda wote waliweka mikakati ya kumpa sifa Samia huku shida zao zimetupwa kapuni

Walimu wakuu hawajitambui tu, yes nasema hawajitambui. Ebu fikiria huu mwezi unaenda wa tatu hawajapewa hata posho zao za madaraka (responsibility allowance), hapa Katikati kulikuwa na mitihani ya taifa form four na two, wasimamizi wa mitihani hulishwa chakula na mkuu wa shule Kwa kutumia pesa za mfuko wa shule (capitation grants), hizi pesa bado haijafika inabidi wakuu wa shule watumie pesa zao mfukoni kulisha wasimamizi kama huna pesa unaenda kukopa kausha damu

Hawa hawa wakuu wa shule wameenda kwenye semina lakini cha ajabu hawajalipwa pesa za semina (per diem). Kumbuka TAHOSSA wana mfuko wao ambao wakuu wa shule huwa wanadonate lakini cha ajabu semina yenyewe walimu wamechanga 60000 kila mmoja huku wengine wakitoka lindi na mtwara, songea na sumbawanga ni mbali saana wanakuja mwanza siku Tatu bila malipo yoyote Yale Kwa kigezo eti pesa watachukua kwenye mfuko wa shule, Kwa bajeti ipi Kati mfuko wa shule pesa zenyewe huwa kiduchu tu shule Zina madeni hadi aibu hapo hapo mpaka saizi pesa za elimu bure hazijaingia Sasa watachukua kwenye mfuko wa sweta au

Wakuu wa shule hawa hawa walipangiwa tarehe ya kikao itakuwa tar 10 mwezi huu lakini ajabu watu wamesafiri kutoka mikoa ya mbali wamefika mwanza wanaambiwa tarehe imeahirishwa Rais yupo na shughuli zingine (walikuwa wamemwarika awe mgeni rasmi) kwahiyo tarehe zikasogezwa, maanake inabidi ujue mwenyewe unaishi jiji la mwanza mpaka tar itakapofika ambayo ni siku nne zijazo au urudi ulipotoka huku nauli Zipo juu

Walimu wana matatizo kibao, mwisho wa siku semina yenyewe huyo Samia hakufika, wanashangaa anaingia Ndejembi, siku iliyofaya msonde baada ya hapo mchengerwa, waziri mwenyewe hata salamu za walimu hatoi anaanza na Samia oyeeee, nao panyabook wanaitikia, ajenda ni kumchukulia form ya urais Samia. Wakaanza kutoa akiba zao mfukoni hata pesa ya nauli wakakopeshana

Huu ni uonevu period!!
Kwani walilazimishwa? Na CCM imeshawajuwa ni waoga na wanafiki, alafu wanachongeana wao kwa wao na hawana umoja. Kikao kiliwahusu wao kujadili mambo yao, sasa huo utitiri wa viongozi wa CCM ulienda kufanya nini? Mbona utitiri huo hatujawahi kuuona ukimiminika kwenye vikao vya chama cha Wanasheria?

Ni hawa hawa wanachangishwa na kukesha kwenye mbio za mwenge, ni hawa hawa ujaza wanafunzi (bila uniform) kwenye maroli na kuwapeleka kwenye mikutano ya CCM na ziara za viongozi. Wameshazoea
 
Back
Top Bottom