Watanzania na serikali tuache unafiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,897
Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana.
Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote.

Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua gani kwa mauaji yaliyohisiwa kufanyika na serikali na vibaraka wa viongozi? Mbona hatukutoa makaripio na makemeo kama hayo? Kwamba kina Lisu waliotaka kuuwawa hadharani hawakuwa wa dhamani sana mpaka tuwe kimya?

Sisemi kwamba tubaki kimya kuhusu huyu ndugu aliyetekwa na Hamas, la hasha, bali ni kuuchuna kwa hawa ambao wapo ndani ya uwezo wetu. Polisi wanaua watu hovyo, tumewafanya nini kuanzia Rais wa nchi mpaka mkuu wa mapolisi? Je hawa tumewapa haki ya kuua?

Tumefanya nini kwa watu tunaowamudu? Kwa nini hatumii hiyo nguvu mnayotumia kwa Gaza hapa nyumbani pindi madhira kama hayo yakitokea?
 
Watanzania wengi wanafuata mkumbo tunapenda sana kudandia hoja bila yakujua mtoa hoja alikua na maana gani katika hoja yake hiyo wao wanadandia tu kama ulivyosema watanzania wangapi wameuliwa ndani ya nchi hii mbona hakuna hata mtanzania mmoja aliyejifanya ana uchungu kwa mtanzania kuuwawa au mtanzania akiuliwa na mtanzania mwenzie inakua sawa hila akiuliwa kwengine ndio inakua sio sawa acheni unafiki tusiangalie mtanzania kauliwa na nani ndio tuwe na uchungu tutee haki ya mtanzania kuuwawa bila yakujali kauliwa na nani hizi kelele mnazopiga kwaku uliwa huyu mtanzania mwenzetu kama mngekua mnapiga kilele hizi hizi akifa mtanzania kwenye vituo vya polisi basi hakuna mahubusu yoyote angefia kituo cha polisi sio kama nafurahi kuuwawa mtanzania mwenzetu hapana isipokua tuache unafiki wakubagua nani kaua akiua fulani sawa akiua fulani si sawa
 
Exactly
 
Hapo Zanzibar watu wameuwawa tena na vyombo vya Dola ili ccm iendelee kukaa madarakani, mbona hakuna hatua zozote zimechukuliwa? Watu wanajifanya wanafunguka kwa hayo ya huko nje!
 
Lissu alivyopigwa zile risasi hayupo ambaye hakukemea, labda nyie ndio mnawajua, kila tukio lazima likemewe kwa uzito ule ule, wala sio kuhamisha magoli kama defence huo ni uoga, na unafiki.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kukemea inatosha hayo mengine waachie wenye nafas ya kuamua Kila mtu afanye kilicho ndani ya uwezo wake, hata hayo unayoyasema tulikemea vilevile ila wenye nafas ya kufanya maamuzi hawakutekeleza vyema majukumu Yao kwahiyo wao kushindwa kufanya hivyo haituzuii sisi kuendelea kukemea vitendo viovu.
Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana.
Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote.

Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua gani kwa mauaji yaliyohisiwa kufanyika na serikali na vibaraka wa viongozi? Mbona hatukutoa makaripio na makemeo kama hayo? Kwamba kina Lisu waliotaka kuuwawa hadharani hawakuwa wa dhamani sana mpaka tuwe kimya?

Sisemi kwamba tubaki kimya kuhusu huyu ndugu aliyetekwa na Hamas, la hasha, bali ni kuuchuna kwa hawa ambao wapo ndani ya uwezo wetu. Polisi wanaua watu hovyo, tumewafanya nini kuanzia Rais wa nchi mpaka mkuu wa mapolisi? Je hawa tumewapa haki ya kuua?

Tumefanya nini kwa watu tunaowamudu? Kwa nini hatumii hiyo nguvu mnayotumia kwa Gaza hapa nyumbani pindi madhira kama hayo yakitokea?
 
Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana.
Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote.

Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua gani kwa mauaji yaliyohisiwa kufanyika na serikali na vibaraka wa viongozi? Mbona hatukutoa makaripio na makemeo kama hayo? Kwamba kina Lisu waliotaka kuuwawa hadharani hawakuwa wa dhamani sana mpaka tuwe kimya?

Sisemi kwamba tubaki kimya kuhusu huyu ndugu aliyetekwa na Hamas, la hasha, bali ni kuuchuna kwa hawa ambao wapo ndani ya uwezo wetu. Polisi wanaua watu hovyo, tumewafanya nini kuanzia Rais wa nchi mpaka mkuu wa mapolisi? Je hawa tumewapa haki ya kuua?

Tumefanya nini kwa watu tunaowamudu? Kwa nini hatumii hiyo nguvu mnayotumia kwa Gaza hapa nyumbani pindi madhira kama hayo yakitokea?
Ni jibu ni kwamba watu wanachukia ugaidi kuliko mauwaji, mtu akisikia magaidi wameteka watu huko atachukizwa kuliko hata atakavyo sikia ndugu zake wameuliwa bila hatia na polisi.
 
Huo mgogoro wa Mashariki ya Kati,umepovusha weredi na umakini katika kufanya uchambuzi usio agemea popote (objective analysis),Lakini una shabikiwa kidini zaidi.

Unafiki ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.
 
Back
Top Bottom