RC Chalamila amechoka kukaa DSM, changamoto zimezidi anatamani kutua mzigo. Kila la kheri kwenye majukumu mapya

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto.

Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM warejee kijijini. Anatamka maneno hayo kipindi ambacho wanaomiliki mwendokasi wamedharau na kuendelea kupunguza magari barabarani na foleni vituoni imezidi kuwa kubwa.

Mimi siyo mtabiri ila naona kila dalili wamiliki wa Mradi wa mwendokasi wakimtumbua Mkuu wa Mkoa au Waziri mwenye dhamana. Uzuri wa Tanzania Majungu unayaona na wakiamua kukukataa wanakuundia zengwe.

Ndugu yangu Chalamila , hapo ulipofika kukejeli wananchi wenye changamoto umefukuza watetezi wako. Discusion zinazoendelea mitandaoni soon zinakwenda kuibua mapicha picha ya changamoto za dar na kuzisambaza mitandaoni. Kabla utafanya ufuatiliaji mangwi utakuwa mkubwa watakuweka pembeni si kwa nia mbaya bali kutuliza upepo.

Pls my brother, ondoka ofisini katatue changamoto za wananchi. Tatua changamoto hata za usafiri tu kama umeshindwa za miundombinu........Dunia ya dot com siyo nzuri....

Umeona namna wizara ya afya ilivyotinhishwa kwenye mitandao.....hao watu wanaishi kutafuta mapungufu na kelele zao zikizidi lazima ziondoke na mwanasiasa. Mtangulizi wako alifika Mwanza bila hata kutarajia.

Achana na comedy kwenye crisis it will never support your startegies for so long........Wakuu wa wilaya na wakurugenzi hizi kauli za watu wa Dar waache kulalamika warudi vijijini ni walk up call for you.......Linda kibarua chake timiza wajibu
 
Mjomba Chalamila mmmm ana shida ...sasa piga picha huku Mjomba C huku Naibu Wazirk Afya khaaaaa...ni shidaaa tupuu
 
Shida chalamila aliteuliwa kisiasa zaidi. Kutokana na uwezo wake wa kuongea.
 
Hilo jiji analiweza FATMA MWASSA hao wengine ni porojo tu, tena Chalamila angepewa ukatibu mkuu CCM.
Hebu tuachieni mkuu wa mkoa wetu wa kagera mkuu...

Kwan lazima mkuu wa Dar atolewe kagera? Mlimpeleka chalamila sasa mnataka na huyu...

Bukoba siku hiz kumekucha...hata miradi iliyokwama imeanza kutekelezwa..chalamila kazi ya kuwachamba wahaya tu
 
Back
Top Bottom