Wanasiasa ni Wabinafsi, baada ya kurekebishiwa Sheria za Uchaguzi wameridhika hawana tena hamu ya Katiba mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Ni Wakati sasa Wananchi kama Wananchi kujianzishia mchakato Wao wa Kupata Katiba mpya

Wanasiasa wameshapewa haja ya mioyo yao ambapo sheria zao za Uchaguzi watarekebishiwa kwenye Vikao Vya bunge vijavyo

Mlale Unono 😃😃
 
Ni kweli, nakubaliana na wewe kwa sababu Katiba ni Mali ya Wananchi wote ktk nchi, siyo mali ya Serikali na wala si Mali ya Wanasiasa peke yao.
Tatizo ni watanzania. Watanzania wanapenda kufanyiwa kila kitu na kazi yao ni kulalamika tu.

Mpaka sisi wananchi tutakapoamka kwenye usingizi huu wa ujinga, acha tupigwe. Acha maisha yazidi kuwa magumu.
 
Nani amekuambia watu wemeridhika? Au akina nani hao hebu taja hata kwa jina
kama matokeo hayawezi kuhojiwa mahakamani jua bado hata hayo mapendekezo unayoyasema hayana ish
 
Ni Wakati sasa Wananchi kama Wananchi kujianzishia mchakato Wao wa Kupata Katiba mpya...
Sio ishu ya katiba hata ishu za kijamii huruka mbali sana ila utasikia maandamano ya kudai sijui li-mbunge gani limedhurumiwa kura ,washenzi sana wale jamaa

USSR
 
Tatizo ni watanzania. Watanzania wanapenda kufanyiwa kila kitu na kazi yao ni kulalamika tu. Mpaka sisi wananchi tutakapoamka kwenye usingizi huu wa ujinga, acha tupigwe. Acha maisha yazidi kuwa magumu.
Ulichosema ni i kweli kwa 100%.
Aidha, uzoefu unaonyesha kwamba hakuna nchi hata moja hapa duniani yenye Katiba nzuri na bora ambayo imepatikana bure bure tu bila ya wanamchi wenyewe kuipigania kwa mapigano makali ya umwagaji damu, hakuna. Kila nchi yenye Katiba nzuri na bora, nyuma yake kuna sacrifice kubwa. This is the Universal Principle!
 
Sio ishu ya katiba hata ishu za kijamii huruka mbali sana ila utasikia maandamano ya kudai sijui li-mbunge gani limedhurumiwa kura ,washenzi sana wale jamaa

USSR

Acha kutunga uongo. Serikali ya Samiah ndio imeweka ngumu kwenye Katiba.
 
Nani karidhika?. Tatizo mzigo wote mnawaachia CHADEMA, halafu mnakuja kuwatukana na kuwadhalilisha. CCM mmeiacha ifanye ujinga wake ila lawama kwa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom