Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention ...
Hawa jamaa bila ya siku moja nguvu ya umma kuwa applied, tusitegemee kuna mabadiliko yatakayo fanyika, angalia wanacho fanya sasa, watoto wao wanaandaliwa kuja kushika hatamu ya uongozi wa...
Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92...
MARYAM Sombi ambaye ni mdogo wa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. Rehema Sombi, amechaguliwa kwa kishindo kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Taifa kupitia...
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.
Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar sehemu kuu ya biashara ni Darajani hivyo Serikali imeanza na ujenzi wa maduka ya kisasa Darajani...
Kwanini mambo mengi sasa hivi ni mabovu au magumu namna hii?
Umeme hakuna, maji sehemu nyingi ni mateso. Ukienda Bank no foreign currency, mtaani pesa hakuna, mahospitalini hali ni mbaya tofauti...
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma...
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa...
Tanzania imetawaliwa na CCM, kwa miongo yote Hadi hivi Sasa! Maendeleo yapo ingawa siyo yaliyotarajiwa kufikiwa hadi sasa iwapo CCM kwa miongo hiyo yote ingekwepa Vita ya Uganda, Ukombozi wa Nchi...
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia...
Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya...
Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde
2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini...
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika...
DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo...
Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe!
Magu alikuwa anafanya ziara za...
Na Mwandishi wetu
Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni...
Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.
Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.
Mtu akienda dukani akikuta bidhaa...
SPIKA wa Bunge la Tanzania Dokta Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini amesema wananchi wa Mbeya Jiji wanamuunga mkono na Miguu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia...
Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir...