galimoshi
Member
- Aug 5, 2023
- 9
- 6
SPIKA wa Bunge la Tanzania Dokta Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini amesema wananchi wa Mbeya Jiji wanamuunga mkono na Miguu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Hassan Suluhu kwa jinsi anavyo wapatia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dokta Tulia ameyasema hayo wakati akitoa neno la shukurani kwa kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Abdallah Shaib Kaim, kwenye ukaguzi na upandaji wa miti rafiki na maji katika chanzo cha maji cha Ivumwe Jijini Mbeya.
“Ndugu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, sisi wana Mbeya mjini tukuhakikishie tu, tunamuunga mkono mpaka na miguu Mheshimiwa Rais kwa jinsi anavyo tukumbuka kwa miradi mbalimbali ya maendeleo hasa ya maji” Dr. Tulia
Amsema awali Jiji la Mbeya kuwa kuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji lakini, kwa sasa hali inazidi kuimarika na kadri miradi mikubwa itakapoendelea kutekelezwa hata huu mgawo mdogo unaoendelea katika baadhi ya maendeo unakwenda kumalizika.
Kwaupande wake Naibu wazi wa Maji Mhandis Maryprisca Mahundi amesema Serikali imejipanga kikamirifu kuhakikisha inatatua changamoto ya maji kwa wananchi, na kudai kuwa kwa Mbeya tayari Serikali imetenga bajeti ya shilingi bilioni 117 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji wa mto Kiwira.
Mwisho.