Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention .
Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo anawaomba upinzani waende wakafanye mikutano, kwanini leo wakati aliwahi kuwakataza wapinzani wasifanye siasa wakati akiwa mkuu wa Mkoa? Je maendeleo ya kipindi kile na ya sasa yana utofauti? Nini anachotafuta kwa wapinzani? Kwanini atake ligi nao? Kwanini asifanye ligi na CCM ?Je, ukimya wa upinzani unamuumiza nini?