Mawazo yangu yanavyonionesha Tanzania ya Chadema!

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Tanzania imetawaliwa na CCM, kwa miongo yote Hadi hivi Sasa! Maendeleo yapo ingawa siyo yaliyotarajiwa kufikiwa hadi sasa iwapo CCM kwa miongo hiyo yote ingekwepa Vita ya Uganda, Ukombozi wa Nchi za Afrika, Ufisadi, Uzembe kazini, uuaji wa Viwanda na mengineyo!

Kwa Sasa vyama vya upinzani vinapambana kushika hatamu. Na anayeongoza mapambano hayo Ni Chadema!

Kwa akili za mtu wa kawaida lazima ajaribu kujenga picha ya Hali inavyoweza kuwa iwapo Chadema atachukua Serikali

Haya Ni baadhi ya maono yangu.

1. Ujenzi wa miundombinu utaongezeka, ingawa si kwa kasi ya Magufuli, na hasa kwa awamu ya kwanza

2. Ufisadi holela utapungua utabakia ule wa mapapa

3. Mifumo ya majeshi yote itabadilika kidogo, hasa kutokana na mabadiliko makubwa wa viongozi wote wa majeshi

4. Uchawa wa watumishi wa serikali na raia utaendelea. Kadi za CCM za watumishi na maafisa mbalimbali zitatupwa na kadi za Chadema zitachukuliwa

5. Katiba haitabadilishwa

6. Wabunge wa CCM watatoa nondo kalikali bungeni, wakati huo wabunge wa Chadema watakuwa vilaza

7. Wabunge wa CCM baadhi yao wataunga juhudi za Chama tawala Cha Chadema

8.Mahakama na jeshi la polisi litakuwa watetezi wa Chadema

9. Mwamko wa maendeleo utapanda juu kwa kiwango kidogo hasa kwa awamu ya kwanza ya utawala, na maendeleo yataendelea kuzorota kwa awamu zinazoendelea ( Kumbuka Africa is Africa)

10. Mikataba mingi serikalini itafumuliwa hasa kutokana na ukweli kwamba imebeba maslahi ya watawala wa CCM

11. Mali nyingi za CCM zitataifishwa na kupelekwa serkalini

12. Muungano utatengenezwa upya, na tunaweza kushuhudia kila upande unaondoka na mbao zake (kitu ambacho si kibaya)

Hayo Ni baadhi ya ninayoyafikiri juu ya Tanzania ya Chadema
Wewe je, unaitazamaje Tanzania ya Chadema?
Weka uchama pembeni tumia akili yako binafsi isiyoongozwa na chuki au uchawa kwa CCM.
 
5. Katiba hatabadilishwa

10. Muungano utatengenezwa upya, na tunaweza kushuhudia kila upande unaondoka na mbao zake (kitu ambacho si kibaya)

Hayo Ni baadhi ya ninayoyafikiri juu ya Tanzania ya Chadema
Wewe je, unaitazamaje Tanzania ya Chadema?
Weka uchama pembeni tumia akili yako binafsi isiyoongozwa na chuki au uchawa kwa CCM.
Ndivyo itakavyokuwa !!
Kama ulivyosema - Africa is Africa !!
 
Chama hakina hata ofisi unapata wapi nguvu hata ya kukitaja?
 
Namba tano, kwahiyo CCM ambayo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani ndio kitaanzisha Maandamano na Migomo makazini ili kudai Katiba Mpya😆

Wakati huo Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mdude Nyagali akitembeza virungu in person.

Nitamuomba Mungu alisimamishe hili Dude nishuke.
 
Hata kama CHADEMA ikiingia madarakani hawawezi kumpa Mdude cheo chochote. Mdude ataendelea kuwa mwanaharakati. CHADEMA sio wajinga wampe uongozi mtu ambaye hayuko sawa kiakili. Na huenda akileta harakati zake watamfunga. Anyway hizi ni ndoto tu
 
Namba tano, kwahiyo CCM ambayo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani ndio kitaanzisha Maandamano na Migomo makazini ili kudai Katiba Mpya

Wakati huo Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mdude Nyagali akitembeza virungu in person.

Nitamuomba Mungu alisimamishe hili Dude nishuke.
 
Lakini wataalamu wanasemaga “ a change is as good as a rest “

Ila angalizo kwa Wazanzibar kwamba kama hamtopata magifti dabodabo katika madai yenu kipindi hiki !
And that will be that !
Wanasemaga Imeisha hiyoo !!😂😂🙏🙏
 
11. Machame itapaa kimaendeleo.
12. Udikteta wa Mbowe utatamalaki.
13. Bodaboda, mama ntilie, na VICOBA watapigwa marufuku.
14. Serikali haitatawalika kutokana na bunge kuwa na idadi kubwa ya wabunge kutoka CCM.
15. Itakuwa serikali ya muhula mmoja.
16. Kutakuwa na jaribio la kutaka kurekebisha katiba ili kuifanya CHADEMA iendelee kutawala lakini itakwamishwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM.
17. Makada wa CHADEMA watakuwa matajiri wakubwa ndani ya muda mfupi kupitia ufisadi.
 
Hata kama CHADEMA ikiingia madarakani hawawezi kumpa Mdude cheo chochote. Mdude ataendelea kuwa mwanaharakati. CHADEMA sio wajinga wampe uongozi mtu ambaye hayuko sawa kiakili. Na huenda akileta harakati zake watamfunga. Anyway hizi ni ndoto tu
Wewe Chawa wa Samia tokea lini unaisemea CHADEMA.

Kaa mbali na DEMA.
 
11. Machame itapaa kimaendeleo.
12. Udikteta wa Mbowe utatamalaki.
13. Bodaboda, mama ntilie, na VICOBA watapigwa marufuku.
14. Serikali haitatawalika kutokana na bunge kuwa na idadi kubwa ya wabunge kutoka CCM.
15. Itakuwa serikali ya muhula mmoja.
16. Kutakuwa na jaribio la kutaka kurekebisha katiba ili kuifanya CHADEMA iendelee kutawala lakini itakwamishwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM.
17. Makada wa CHADEMA watakuwa matajiri wakubwa ndani ya muda mfupi kupitia ufisadi.
Katiba iliyopo tayari inamruhusu mtawala kuendelea kutawala
 
Tanzania imetawaliwa na CCM, kwa miongo yote Hadi hivi Sasa! Maendeleo yapo ingawa siyo yaliyotarajiwa kufikiwa hadi sasa iwapo CCM kwa miongo hiyo yote ingekwepa Vita ya Uganda, Ukombozi wa Nchi za Afrika, Ufisadi, Uzembe kazini, uuaji wa Viwanda na mengineyo!

Kwa Sasa vyama vya upinzani vinapambana kushika hatamu. Na anayeongoza mapambano hayo Ni Chadema!

Kwa akili za mtu wa kawaida lazima ajaribu kujenga picha ya Hali inavyoweza kuwa iwapo Chadema atachukua Serikali

Haya Ni baadhi ya maono yangu.

1. Ujenzi wa miundombinu utaongezeka, ingawa si kwa kasi ya Magufuli, na hasa kwa awamu ya kwanza

2. Ufisadi holela utapungua utabakia ule wa mapapa

3. Mifumo ya majeshi yote itabadilika kidogo, hasa kutokana na mabadiliko makubwa wa viongozi wote wa majeshi

4. Uchawa wa watumishi wa serikali na raia utaendelea. Kadi za CCM za watumishi na maafisa mbalimbali zitatupwa na kadi za Chadema zitachukuliwa

5. Katiba haitabadilishwa

6. Wabunge wa CCM watatoa nondo kalikali bungeni, wakati huo wabunge wa Chadema watakuwa vilaza

7. Wabunge wa CCM baadhi yao wataunga juhudi za Chama tawala Cha Chadema

8.Mahakama na jeshi la polisi litakuwa watetezi wa Chadema

9. Mwamko wa maendeleo utapanda juu kwa kiwango kidogo hasa kwa awamu ya kwanza ya utawala, na maendeleo yataendelea kuzorota kwa awamu zinazoendelea ( Kumbuka Africa is Africa)

10. Mikataba mingi serikalini itafumuliwa hasa kutokana na ukweli kwamba imebeba maslahi ya watawala wa CCM

11. Mali nyingi za CCM zitataifishwa na kupelekwa serkalini

12. Muungano utatengenezwa upya, na tunaweza kushuhudia kila upande unaondoka na mbao zake (kitu ambacho si kibaya)

Hayo Ni baadhi ya ninayoyafikiri juu ya Tanzania ya Chadema
Wewe je, unaitazamaje Tanzania ya Chadema?
Wek uchama pembeni tumia akili yako binafsi isiyoongozwa na chuki au uchawa kwa CCM.
we ni libwege tu liko ndotoni, bora ungeitaja ACT-WAZALENDO maana wameweza kujenga jengo lao la makao makuu ya chama. Hao wavuta bangi wa CHADOMO? Kina Lema, Lissu, Mwabukusi, Mdude? au ni kina nani hao unawazungumzia?
 
11. Machame itapaa kimaendeleo.
12. Udikteta wa Mbowe utatamalaki.
13. Bodaboda, mama ntilie, na VICOBA watapigwa marufuku.
14. Serikali haitatawalika kutokana na bunge kuwa na idadi kubwa ya wabunge kutoka CCM.
15. Itakuwa serikali ya muhula mmoja.
16. Kutakuwa na jaribio la kutaka kurekebisha katiba ili kuifanya CHADEMA iendelee kutawala lakini itakwamishwa na idadi kubwa ya wabunge wa CCM.
17. Makada wa CHADEMA watakuwa matajiri wakubwa ndani ya muda mfupi kupitia ufisadi.
Hata sasa kuna mwingine anapata uDc na uRc kwa kipindi kisichozidi miaka minne anakuwa tayari ameshamiliki magorofa na mimali kibao !!
Kwahiyo hakuna cha ajabu wacha na wengine watumbue !
Wanasemaga kutesa kwa zamu !!
Sote Watanzania wacha na wengine wakule keki ya Taifa !!
 
Tanzania imetawaliwa na CCM, kwa miongo yote Hadi hivi Sasa! Maendeleo yapo ingawa siyo yaliyotarajiwa kufikiwa hadi sasa iwapo CCM kwa miongo hiyo yote ingekwepa Vita ya Uganda, Ukombozi wa Nchi za Afrika, Ufisadi, Uzembe kazini, uuaji wa Viwanda na mengineyo!

Kwa Sasa vyama vya upinzani vinapambana kushika hatamu. Na anayeongoza mapambano hayo Ni Chadema!

Kwa akili za mtu wa kawaida lazima ajaribu kujenga picha ya Hali inavyoweza kuwa iwapo Chadema atachukua Serikali

Haya Ni baadhi ya maono yangu.

1. Ujenzi wa miundombinu utaongezeka, ingawa si kwa kasi ya Magufuli, na hasa kwa awamu ya kwanza

2. Ufisadi holela utapungua utabakia ule wa mapapa

3. Mifumo ya majeshi yote itabadilika kidogo, hasa kutokana na mabadiliko makubwa wa viongozi wote wa majeshi

4. Uchawa wa watumishi wa serikali na raia utaendelea. Kadi za CCM za watumishi na maafisa mbalimbali zitatupwa na kadi za Chadema zitachukuliwa

5. Katiba haitabadilishwa

6. Wabunge wa CCM watatoa nondo kalikali bungeni, wakati huo wabunge wa Chadema watakuwa vilaza

7. Wabunge wa CCM baadhi yao wataunga juhudi za Chama tawala Cha Chadema

8.Mahakama na jeshi la polisi litakuwa watetezi wa Chadema

9. Mwamko wa maendeleo utapanda juu kwa kiwango kidogo hasa kwa awamu ya kwanza ya utawala, na maendeleo yataendelea kuzorota kwa awamu zinazoendelea ( Kumbuka Africa is Africa)

10. Mikataba mingi serikalini itafumuliwa hasa kutokana na ukweli kwamba imebeba maslahi ya watawala wa CCM

11. Mali nyingi za CCM zitataifishwa na kupelekwa serkalini

12. Muungano utatengenezwa upya, na tunaweza kushuhudia kila upande unaondoka na mbao zake (kitu ambacho si kibaya)

Hayo Ni baadhi ya ninayoyafikiri juu ya Tanzania ya Chadema
Wewe je, unaitazamaje Tanzania ya Chadema?
Weka uchama pembeni tumia akili yako binafsi isiyoongozwa na chuki au uchawa kwa CCM.
Sikubaliani na wewe
 
we ni libwege tu liko ndotoni, bora ungeitaja ACT-WAZALENDO maana wameweza kujenga jengo lao la makao makuu ya chama. Hao wavuta bangi wa CHADOMO? Kina Lema, Lissu, Mwabukusi, Mdude? au ni kina nani hao unawazungumzia?
Duh, matusi Tena?
Mawazo hayana mpaka ndugu yangu!

Unaweza kuwaza chochote hata CUF, hata NCCR

Mimi nimewaza Tanzania kuwa chini ya Chadema
Wewe waza Tanzania kuwa chini ya ACT

Yaani kada wa CCM mnatawala Tanzania na unatamani Hadi akili zetu mzitawale, tusiwe na mawazo tofauti ya mnayowaza nyie!
 
Back
Top Bottom