Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

Siyo siri ujio wa Mskonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karsta.
Tatizo ni Chongolo, ansonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.

Katibu Mkuu changamka!
Zaidi ya msambwanda aliobeba Makonda, hana kingine cha kumzidi Chongolo
Screenshot_20231111_190308_Google.jpg
 
Back
Top Bottom