Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

Immortal Techniques

Senior Member
Aug 9, 2023
167
310
Utangulizi:

Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake,

Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri wa miaka 30, 50% ni umri zaidi ya miaka 18,
Uchumi(GDP) wetu umekadiliwa kujua Kwa 5.2% 2023 na 6% mpka 2025,(WB).

Upo wimbo wa Wanasiasa na viongozi wetu kuwa uchumi wetu unakuja na tuko Vizuri,lakini hali ya kushangaza ni UCHUMI GANI UNAKUA BILA KUZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA( Both Public& private sector).

Youth Unemployment (Ukosefu wa ajira Kwa Vijana Tanzania sio jambo tena lakupima Kwa Microscopic maabara/ hali Iko wazi si vijana wenye elimu,ujuzi na wasio na ujuzi/Vibarua, Yani hata kazi za kusukuma mkoteni mijini kubeba bizaa ni flooded,
Jambo kubwa la kushangaza ni Viongozi wetu Vocabulary ya Youth unemployment ni haipo midomoni mwao,

Tujifunje juu ya Arab Spring vs Youth unemployment,
Ni kweli Serikali haiwezi ajiri watu wote ila Ina wajibu kufanya mazingira wezeshe Kwa watu kuajiari, Leo Vijana wengi si Dar mikoani pia wamejiingiza kwenye Immoral way to survive Madada Poa mpka makaka poa it's shameful and painful ,japo si unagani na immoral ways katika utafutaji maisha ila ukweli ni matokeo ya Ukosefu wa njia sahihi vijana kuendeleza maisha,

Vijana wana angamia,Wengi wameingia matumizi ya pombe, za miatano za kichina natamani hata hizi pombe kama Coffee,shingwaaa n.k zipigwe marufuku zinau nguvu kazi za vijana,

Vijana wanaishi in Phrase, of life show no more deal any more,
Ikitangazwa nafasi ya kazi 10,vijana shortlisted 5000?,

They is no more hope and bright future Kwa Vijana na Kila kukicha wanatoka mavyuoni kuja mitaani,

Mama SSH Mempendwa, tunakuomba uje na Emergency Plan to Rescue youth Unemployment, japo tunajua si kitu Overnight process,ila inawezekana,

Suggestions 💡, Tuangalie Sectors za manufacturing & Service and value addition(Agriculture) ambazo zitakuwa Capital intensive kuokoa hili janga,

Na ushauri pia, Si lazima miradi ya JPM uibebe yote ikamilike jaribu kwenda Kwa awamu Ili kupunguza pesa nyingi kwenda huko Tena pesa mikopo, kulazimisha SGR kukamilika phase zote nikulazimika kukopa zaidi, hizi Super Mega project usipo kuwa na step Kwa kuogopa kusemwa Miradi imemshinda utawabesha watanzania Mizigo mikubwa ya madeni na the matter of fact miradi mingi Super project haikukwa na Feasibility Study, it's knowns of unknowns.

Nawakilisha wadau;
NB: This is author opinion, Not political affiliation opinion.
Jadili ukiwa objective sio Kwa mahaba ya Siasa tusifanye Siasa Kwa maisha ya watu.
 
Utangulizi:

Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake,

Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri wa miaka 30, 50% ni umri zaidi ya miaka 18,
Uchumi(GDP) wetu umekadiliwa kujua Kwa 5.2% 2023 na 6% mpka 2025,(WB).

Upo wimbo wa Wanasiasa na viongozi wetu kuwa uchumi wetu unakuja na tuko Vizuri,lakini hali ya kushangaza ni UCHUMI GANI UNAKUA BILA KUZALISHA AJIRA ZA KUTOSHA( Both Public& private sector).

Youth Unemployment (Ukosefu wa ajira Kwa Vijana Tanzania sio jambo tena lakupima Kwa Microscopic maabara/ hali Iko wazi si vijana wenye elimu,ujuzi na wasio na ujuzi/Vibarua, Yani hata kazi za kusukuma mkoteni mijini kubeba bizaa ni flooded,
Jambo kubwa la kushangaza ni Viongozi wetu Vocabulary ya Youth unemployment ni haipo midomoni mwao,

Tujifunje juu ya Arab Spring vs Youth unemployment,
Ni kweli Serikali haiwezi ajiri watu wote ila Ina wajibu kufanya mazingira wezeshe Kwa watu kuajiari, Leo Vijana wengi si Dar mikoani pia wamejiingiza kwenye Immoral way to survive Madada Poa mpka makaka poa it's shameful and painful ,japo si unagani na immoral ways katika utafutaji maisha ila ukweli ni matokeo ya Ukosefu wa njia sahihi vijana kuendeleza maisha,

Vijana wana angamia,Wengi wameingia matumizi ya pombe, za miatano za kichina natamani hata hizi pombe kama Coffee,shingwaaa n.k zipigwe marufuku zinau nguvu kazi za vijana,

Vijana wanaishi in Phrase, of life show no more deal any more,
Ikitangazwa nafasi ya kazi 10,vijana shortlisted 5000?,

They is no more hope and bright future Kwa Vijana na Kila kukicha wanatoka mavyuoni kuja mitaani,

Mama SSH Mempendwa, tunakuomba uje na Emergency Plan to Rescue youth Unemployment, japo tunajua si kitu Overnight process,ila inawezekana,

Suggestions 💡, Tuangalie Sectors za manufacturing & Service and value addition(Agriculture) ambazo zitakuwa Capital intensive kuokoa hili janga,

Na ushauri pia, Si lazima miradi ya JPM uibebe yote ikamilike jaribu kwenda Kwa awamu Ili kupunguza pesa nyingi kwenda huko Tena pesa mikopo, kulazimisha SGR kukamilika phase zote nikulazimika kukopa zaidi, hizi Super Mega project usipo kuwa na step Kwa kuogopa kusemwa Miradi imemshinda utawabesha watanzania Mizigo mikubwa ya madeni na the matter of fact miradi mingi Super project haikukwa na Feasibility Study, it's knows of unknown.

Nawakilisha wadau;
NB: This is author opinion, Not political affiliation opinion.
Jadili ukiwa objective sio Kwa mahaba ya Siasa tusifanye Siasa Kwa maisha ya watu.
Huna uelewa wowote wa mambo ya uchumi.

Msome WB county Director hapa upate majibu

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1737111937610321930?t=iJA13dFjRHKVc_MrCOG6Ww&s=19
 
Kingine, kasi ya kuzaliana inabidi ipungue.

Watu wengi masikini wasio na kazi wanapozaliana sana, hata ukiongeza ajira kwa kizazi hiki, baada ya miaka michache tatizo litarudi pale pale kwa sababu watu wanazaana bila mpango.
 
Tetesi ni kuwa nchi inaweza ikafilisika mwaka 2024.

Itafilisika mpaka itashindwa kulipa mishahara kabisa. Itafilisika mno mpaka Itashindwa kulipa mishahara ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama yaani mishahara ya mapolisi,usalama na wanajeshi. Baada ya kushindwa kulipa mishahara ya wanajeshi, kitakachofuata hapo ni wanajeshi kuwa na njaa kali itakayochochea hasira na wataungana woote na kuamua kuipindua serikali ya CCM 🤣🤣🤣🤣.

The End

Ova
 
Hizo tetesi zilikuwepo Toka 2021 saizi ni 2024.

Kazana kuomba Mkuu Bado hujachelewa.

View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1738130551465267476?t=pPoYiQ7At25Mx6dsk58arg&s=19
-1219405234.jpg
 
Nilizani uelewewa wako wa kiuchumi, ungetoa solutions hapa Kwa swala la Ajira,kwanza ukili tatizo lipo au lipo ndo tunaweza endelea, Bretton wood institutions, sera zao mikopo yao kamwe haita kuja kuwasaidia Africa ni mikopo ya sector ambazo hazina impact on manufacturing & services ,usipo kuwa na jicho la tatu huwezi jua hilo ,WB & IMF ni mwendelezo Wa colonialist imperialism Kwa Africa,so usipende kubeba ideas zao juu ya common fate ya Tz.
 
Kingine, kasi ya kuzaliana inabidi ipungue.

Watu wengi masikini wasio na kazi wanapozaliana sana, hata ukiongeza ajira kwa kizazi hiki, baada ya miaka michache tatizo litarudi pale pale kwa sababu watu wanazaana bila mpango.
Peleka hilo somo usukumani maana kule kuzaa watoto wengi ni fahari ingawa wanapigwa na umaskini hatari
 
Hii ni logical fallacy inaitwa ad hominem.

Umeshindwa kujadili hoja, unamshambulia mtoa hoja.
Hakuna mahala popote ambako kiuchumi idadi ya watu imeleta hasara badala yake idadi ndogo ya kuzaana ndio inaleta hasara ndio maana China,Germany,Korea etc wanawalilia wanawake na kuwapa incentives wazae.
 
Back
Top Bottom