Hayati Dr Magufuli Alipiga Stop Vyeo vya Watoto UVCCM, alijua ni mbinu za Undugunisation

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,295

Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni.

Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao na Familia zao kwenye system za Uongozi kwa Mgongo wa UVCCM Chipukizi.

Sisi wengine tulipoonya na kukemea mambo haya ya Undugunisation kwenye vyeo watu walibeza wakasahau hata Aliyekuwa Rais wakati huo alipiga stop.

Sasa mambo yale yale yameibuka kama uyoga kwa kasi ya Miale ya jua.
 
View attachment 2849843
View attachment 2849840

Who is Magufuli by the way? Mtu mmja mjinga hawezi kuwa ndio mtengeneza muelekeo wa werevu.
 
View attachment 2849843
View attachment 2849840

Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni.

Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao na Familia zao kwenye system za Uongozi kwa Mgongo wa UVCCM Chipukizi.

Sisi wengine tulipoonya na kukemea mambo haya ya Undugunisation kwenye vyeo watu walibeza wakasahau hata Aliyekuwa Rais wakati huo alipiga stop.

Sasa mambo yale yale yameibuka kama uyoga kwa kasi ya Miale ya jua.
Hii imeprove jinsi mwigulu lameck alivyo mpumbavu na mjinga
 
Back
Top Bottom