Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

KIKOROO

Member
Mar 18, 2020
92
137
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.

==========
Lema.jpg

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake George Luchiri Wajackoyah athibitisha.

Mwezi uliopita Godbless Lema, polisi nchini Kenya walimkamatwa kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

Chanzo: BBC Swahili
 
Lema kaiacha Arusha ili itakuwa vizuri maana sasa ataweza kumtukana Jiwe mtandaoni bila uoga.

Nahisi Likabudi linaweza likamuita balozi wa Canada likamtishia kwa ile mimacho yake huku likimsisitiza kurudisha bombardiers zote walizozinunua Canada
 
Back
Top Bottom