Hapa Magufuli aliona mbali kuhusu Chipukizi, leo hii wamemgeuka

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Aliona mbali sana kwa kuwabebesha watoto wadogo mizigo ya chama.

Alikemea kuwatumia watoto wadogo kwenye mambo ya siasa kupitia kivuli cha SKAUTI.

Leo hii wameyasahau kabisa mawazo ya aliyekuwa mwenyekiti wao wa chama chao.

Kweli ccm ina wenyewe.
Yaani unambebesha mwanao majukumu ya chama ili iweje?
 
Hata saa ya ukutani mbovu isiyotembea, huonesha saa sahihi (correct time) kutwa mara moja!
 
Aliona mbali sana kwa kuwabebesha watoto wadogo mizigo ya chama.

Alikemea kuwatumia watoto wadogo kwenye mambo ya siasa kupitia kivuli cha SKAUTI.

Leo hii wameyasahau kabisa mawazo ya aliyekuwa mwenyekiti wao wa chama chao.

Kweli ccm ina wenyewe.
Yaani unambebesha mwanao majukumu ya chama ili iweje?View attachment 2849515
Mjomba Pascal Mayalla unalionaje hili kwa jicho la kisheria?
 
Back
Top Bottom