Chipukizi Wing CCM ni kinyume cha Sheria?

lord atkin

Senior Member
Sep 30, 2018
197
683
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
Screenshot_20231221-151414.jpg
 
Ni sheria ipi inaruhusu watoto wadogo kujihusisha na shughuli za chama cha siasa?
sio sheria ipi tu...

bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....

Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..

sio kulalamika tu
 
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
CCM kuvunja sheria au katiba siyo issue kwao
 
Tunayoyaona kule Sudan na makundi mengine ya kigaidi ku recruit watoto ndiyo tunaanza kuyashuhudia ndani ya ccm ya sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri usiopungua miaka 21. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 na 10A cha Sheria ya vyama vya siasa.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwakusanya watoto wadogo chamani chini ya mwamvuli wa Chipukizi na kuwapatia Uongozi katika umri huo mdogo kinakiuka sheria iliyo wazi ya vyama vya siasa.

Ni wakati sasa rungu la msajili wa vyama vya siasa kukishukia Chama hiki cha CCM.
View attachment 2849104
Tangu mwaka 2015 CCM ipo ju ya Sheria.
Wabunge 19[Virusi-19] wamewekwa na hao sisiem na hakuna hili wala lile, na Mungu ameachia hivyo mpaka akili zitukae vizuri.
 
moja ya sifa ya itikadi ni educative and transformational tunaweza kusema sheria hamtendei haki mtoto,na imekiuka haki za kibinadamu hivyo tunasema null and avoided...but kwa upande mwengine mwanachama ni mtu mwenye haki katika chama na mjenzi wa chama hivyo mwanachama huwenda tukamchukulia mtu mzima na hao chipukizi hatuwàtreat kuwa wanachama sababu hawana effect /maamuzi makukubwa kwenye chama
 
Wenzetu katika nchi zilizoendelea wanawakuza watoto wao kuwa innovators, researchers great technologists katika hii generation ya nne.
Sisi tunaanza kuwalea katika siasa wakiwa wadogo huku tukijua siasa ni wizi na hapo ni kukuza wizi watakaokuja kuwa majizi makubwa siku za usoni.
 
sio sheria ipi tu...

bali pia ni haki ya watoto kupata malezi, mafunzo yahusuyo nchi, maadili na uzalendo wa nchi yao, sio tu katika chama bali pia katika taasisi za kidini na mashirika yanayosimamia haki za watoto ya ndani na nje ya nchi....

Na matokeo ya malezi hayo ndio huzalisha wanachama na viongozi mahiri, shupavu, wenye weledi, wabunifu na makini siku za usoni..

sio kulalamika tu
Umeelewa lkn point kuu ya mleta mada?, mleta mada amefafanua hadi vifungu vya sheria ya vyama vya siasa inayokataza watoto kujihusisha na shughuli za vyama vya siasa, iweje CCM inahusisha watoto kwenye kujijenga?
 
Back
Top Bottom