MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,734
Hii nchi shida kuu ni unafiki, naona kwenye mitandoa kutwa nzima, lawama zinatupiwa TANESCO utazania hio TANESCO ni nchi. Kuambiana Black and White ni ngumu sana nchi hii.
Huu mgao wa umeme Raisi anawajibika nao kwa asilimia 100, lawama zote anapaswa kubebeshwa yeye kama yeye. Haya mambo ya kuonena aibu, kwamba lawama anatupiwa TANESCO ni upumbavu mkubwa sana.
Na sio swala la umeme tu ni mambo yote yanayo endelea, kuna wakati pia naonaga Mwigulu anatupiwa lawama, huu nao ni ujinga, mwigulu anatupiwa vipi lawama? kwani kajiteua pale?
Tatizo la Umeme Mama ndio mtu wa kwanza wa kutupiwa lawama, haiwezekani mwaka mzima Taifa lina mgao wa umeme na tunachekeana humu na kulaumu Tanesco.Hakuna mtu mwingine wa kulaumu zaidi ya Raisi kwenye hili swala la mgao.
Raisi alipaswa kujua huu mgao na kuja na solution zake, haiwezekani tuendelee kuambiana yeye sio Mungu haleti mvua.