RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Heri ya Christmas wakuu
Mungu akijalia tunaenda kumaliza Mwaka, mkuu wa nchi yetu ametembea Zaidi ya mataifa kuminane hadi Sasa!
Kimsingi kuna kauli kubwa husemwa na Wana CCM pamoja na baadhi ya wapinzani kwamba mama anaupiga mwingi, mama anefungua nchi, wadadisi wa mambo naomba mnipatie faida kubwa tulizozipata baada ya mkuu wa nchi kutembea mataifa hayo.
Miradi ambayo hutangazwa Kila siku ambayo kimsingi kasi ya utekelezaji ni ndogo
1. SGR huu mradi pamoja na yote mara nyingi umma hutangaziwa kuanza kufanya kazi hususani kipande cha kutoka Dodoma Hadi daresalaam Hadi Sasa kimya kimezidi nilichokuona NI baadhi ya mabehewa kuiletwa na siyo kuanza kufanya kazi, maneno yao utasikia mwezi flani tutaanza ikifika maneno mengine changamoto za matengenezo ya mabehewa kutoka nje haya ndiyo maneno hivi sasa.
2. Bwawa la Nyerere mara ya mwisho tuliambiwa kujaa maji imefikia asilimia 90 hadi Sasa haijajulikana nini kimekwamisha mradi huo kuanza kufanya kazi na hautangazwi kwa umma kujuwa nini kimekwamisha. Umeme hivi sasa umekuwa wa kukatika katika.
3. Barabara ya njia nne hadi Sasa imekuwa ni ndoto ya mchana.
Mengine mtaongezea wanaofahamu.
MAMA ANAUPIGA MWINGI NAOMBENI MNITAJIE NI MAMBO GANI AMEUPIGA MWINGI TANGU AMEINGIA MADARAKANI.
1.
2.
3.