Wabunge wengi wamerejea majimboni kuwanunulia wapiga kura wali wa Christmas na Pombe huku wakilipa social media wapost matukio katika picha

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa hewa. Mwisho wamewaweka standby milard na team yake wanapotumiwa tu picha waweke maneno nakutuma kwa umma.

Watu hawa utawaona majimbo ya Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Arusha , Kigoma etc
Je mkakati huu wakinunulia wapiga kura wali na pombe za kienyeji utazaa matunda? Kwamba flan ni mtu wa watu, akija tunakaa naye sana kijiweni na anatembelea hadi wazee wasiojiweza.

Uliomba kura kwamba utaleta maendeleo siyo wali na pombe.
 
Kama wananchi wao wanapenda hizo mambo, shida iko wapi mbunge kura siku kuu na wananchi wake?
 
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa hewa. Mwisho wamewaweka standby milard na team yake wanapotumiwa tu picha waweke maneno nakutuma kwa umma.

Watu hawa utawaona majimbo ya Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Arusha , Kigoma etc
Je mkakati huu wakinunulia wapiga kura wali na pombe za kienyeji utazaa matunda? Kwamba flan ni mtu wa watu, akija tunakaa naye sana kijiweni na anatembelea hadi wazee wasiojiweza.

Uliomba kura kwamba utaleta maendeleo siyo wali na pombe.
Wanafanya jambo la maana sana. Mitano tena!
 
Watanzania Bia za bure au Khanga Tisheti na Kofia watasau shida zinazosabashishwa na CCM na Serikali yake.

Baada ya Uchaguzi utaanza kusikia malalamiko ya mara sukari haishikiki mara hivi mara vile...
 
Bila picha ni porojo tu
 
Watanzania Bia za bure au Khanga Tisheti na Kofia watasau shida zinazosabashishwa na CCM na Serikali yake.

Baada ya Uchaguzi utaanza kusikia malalamiko ya mara sukari haishikiki mara hivi mara vile...

Hiyo circle imekuwa ikijirudia over and over again
 
Ni dalili tosha wajinga ni wengi wali, soda na bia zikitumika kushusha hadhi ya mtu ni dalili mbaya.
 
Sisi hatukuwachagua kwa mapenzi yetu.....waliwekwa na majeshi na wakurugenzi wa halmashauri na miji
 
Watu hawa utawaona majimbo ya Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Arusha , Kigoma etc
Je mkakati huu wakinunulia wapiga kura wali na pombe za kienyeji utazaa matunda? Kwamba flan ni mtu wa watu, akija tunakaa naye sana kijiweni na anatembelea hadi wazee wasiojiweza.
🤣😂
 
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa hewa. Mwisho wamewaweka standby milard na team yake wanapotumiwa tu picha waweke maneno nakutuma kwa umma.

Watu hawa utawaona majimbo ya Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Arusha , Kigoma etc
Je mkakati huu wakinunulia wapiga kura wali na pombe za kienyeji utazaa matunda? Kwamba flan ni mtu wa watu, akija tunakaa naye sana kijiweni na anatembelea hadi wazee wasiojiweza.

Uliomba kura kwamba utaleta maendeleo siyo wali na pombe.
Ujinga wetu ndio mtaji wao !
Wala sio umasikini wetu ! Maana kama ni wali hata nikishiba namna gani lakini usiku nitapata tena njaa !!
 
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua viroba vya mchele vichache na kukabidhi kwa kuwalazimisha wapokeaji warekodiwe na picha ziende kwa hewa. Mwisho wamewaweka standby milard na team yake wanapotumiwa tu picha waweke maneno nakutuma kwa umma.

Watu hawa utawaona majimbo ya Kagera, Kilimanjaro, Lindi, Mbeya, Arusha , Kigoma etc
Je mkakati huu wakinunulia wapiga kura wali na pombe za kienyeji utazaa matunda? Kwamba flan ni mtu wa watu, akija tunakaa naye sana kijiweni na anatembelea hadi wazee wasiojiweza.

Uliomba kura kwamba utaleta maendeleo siyo wali na pombe.
Bila picha ni unafiki kama unafiki mwingine wa kupiga kelele za Gaza huku Sudan wanauwana na watu wapo kimya
 
Kizuri zaidi wanaenda kugawa viroba vya mchele kwa wapiga kura wenyewe, huku akina wewe kama vijana mnaachwa kupewa chochote maana wanajua mtawazodoa hahahaaa....
 
Back
Top Bottom