Katibu Mkuu anafaa kuwa Humphrey Polepole, CCM itashinda asubuhi sana

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.

This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema.

CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike wapinzani asubuhi na mapema.
 
Kwa kuwa ana maajabu gani? Hivi mtu kama Mimi unaweza nihubiria maneno matupu nikakupa kura? Mimi nataka vitu vya Kuonekana sio propaganda.
 
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.

This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema.

CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike wapinzani asubuhi na mapema.
Nape January na mwigulu mbona watahsrisha sana wakisikia hivyo

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.

This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema.

CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike wapinzani asubuhi na mapema.
Naunga mkono hoja, namkubali sana, Polepole
P
 
CCM inahitaji katibu mkuu anayekijua chama na aliyeishi ndani ya chama kwa ngazi mbalimbali.

Huwezi kutafutà katibu mkuu wa chama kwa kuangalia uchaguzi mmoja, ndio kukiua chama huko!
 
Bashilu na polepole ndio pekee mwarobaini wa wapinzani na mafisadi,

(1) makamu mwenyekiti Bashilu ally kakurwa.

(2) katibu mkuu ccm taifa,humprey polepole.

(3) katibu wa itikadi na uenezi,Paul makonda.

Hiyo timu hakuna wa kuishinda.
 
bashiru hapana hapana
 
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.

This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema.

CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike wapinzani asubuhi na mapema.
Namkubali pia polepole. Tatizo pekee ni chama kimechakaa tu. Lakini Sina mashaka na polepole. Kuna mtu alishawahi kumwita kiroboto but time will tell
 
Bashilu na polepole ndio pekee mwarobaini wa wapinzani na mafisadi,

(1) makamu mwenyekiti Bashilu ally kakurwa.

(2) katibu mkuu ccm taifa,humprey polepole.

(3) katibu wa itikadi na uenezi,Paul makonda.

Hiyo timu hakuna wa kuishinda.
Kabla ya dhalimu magu kuwa rais Polepole na Bashiru niliwaona wanasiasa wa maana, ila baada ya kupewa nafasi na dhalimu waligeuka wakalewa madaraka Yake na kugeuka vituko.
 
Bashilu na polepole ndio pekee mwarobaini wa wapinzani na mafisadi,

(1) makamu mwenyekiti Bashilu ally kakurwa.

(2) katibu mkuu ccm taifa,humprey polepole.

(3) katibu wa itikadi na uenezi,Paul makonda.

Hiyo timu hakuna wa kuishinda.
Kwa sababu zipi? Wizi au ushawishi? Makonda au polepole au Bashiru wana ushawishi gani? Jaribu kufikiria tu!
 
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.

This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema.

CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike wapinzani asubuhi na mapema.
Naunga mkono hoja!
 
Unamkubariii eehhh basi sawa
 
Yes combination ya Makonda na Polepole ni hatari mnooo. Nyumbu watatafuta kazi nyingine ya kufanya
 
Back
Top Bottom