Mnaobeza safari za Rais Samia nje ya nchi, hamjui majukumu ya mkuu wa nchi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike huko nje.

Watanzania wanaokwenda China, Uturuki, Dubai, Malaysia, Ulaya na America ni wengi kipindi cha mama kuliko kipindi cha JPM. Means exposure inaongezeka. Tunapunguza idadi ya illiterate katika eneo la diplomasia ya kimataifa. Tulizoeshwa kwamba kupanda ndege ni anasa. Leo hii mama ametufungulia njia tunaweza kupanda ndege bila kukutana na vikwazo tuendako. Tunapaswa kumpongeza sana.

Royol tour imewashtua majirani zetu na kuwafanya watamke visa free bila hata kufanya maandalizi , hizi zote ni juhudi za mama. Nitakuwa mnafiki nisipokiri hapa kwamba mama amefanikiwa kuturejeshea uhuru wa kimataifa muda mfupi baada ya sisi kuupoteza.

Aidha, zipo changamoto kubwa zinazokwamisha mama katika kukuza uchumi na mahusiano ya kiuchumi. Nitataja baadhi
1. Wafanyakazi wengi wa wizara ya maliasili na utalii hawamwelewi mkuu wa nchi. Mfano jana tumeona kwenye mitandao wafanyakazi huko Serengeti wanazuia watalii kuendelea na ratiba zao kisa wanataka wakusanye dola hamsini kwa makampuni ya utalii ambayo wanafahamu ofisi zao zilipo na kwamba wakiwapa hills mifumo ya TEHAMA aliyoweka mama itawatambua kama wanadaiwa bila kuathiri utalii. Anatakiwa kwa kitendo kile amfute kazi waziri mwenye dhamana na watendaji wa hifadhi ili next time wajifunze kutoa huduma kwa kuzingatia mazingira kabla ya wageni walioathirika awajaenda kutangaza vibaya huko Duniani.

2. Watendaji katika viwanja vikubwa vya ndege vya Julius Nyerere, KIA na Abeid Aman Karume wamejaa uaskari zaidi kuliko utoaji huduma. Watendaji wasiovaa uniform katika viwanja hivi na wasiokuwa na nametag ni mzigo kwa Taifa. Wanavyotoa huduma ni kama wao ndio wamiliki wa nchi na kwamba wao wasiposema uingie au utoke hautatoka. Viwanja bmvikubwa vyote ikiwemo hata Ethiopia hakuna huu ujinga wakujaza unskilled labour uwanjani. Hakuna ujinga wakuruhusu afisa asiye na uniform Wala name tag kusumbua wageni. Waondoleeni haya mamlaka hawa viumbe wageni wawe na amani kuja tena

3. Mhe. Rais anatafuta wawekezaji lakini mawaziri na watendaji wanaosimamia uwekezaji wamekaa kijeshi zaidi. Hawana moyo wakupunguza usumbufu wa huduma kwa sababu ya rushwa. Kila mtu ni bosi kwenye ofisi yake na hakuna uniformity wala ufuatiliaji wa muda wa utoaji huduma.

4. Mawaziri wa kisekta ni mzigo kwenye eneo la kusisimua uwekezaji. By nature mawaziri wa Tanzania siyo watu wakukaa ofisini lakini pia kila siku wanabadilishwa . Pamoja na hayo mamlaka walizojiwekea mawaziri wamekuwa miungu watu kwenye wizara. Mfano waziri wa uwekezaji asipoamua kupitisha vibali au waziri mwenye dhamana na ajira asiporuhusu appeal za ajira kwa wageni zisikilizwe na atoe maamuzi mtakesha. Mhe. Rais rejesha mamlaka za utoaji huduma kwa Makatibu wakuu. Mawaziri wabaki kufuatilia utekelezaji na kama standards zinafuatwa.

All In all nimpongeze mama kwakuifungua nchi sasa hivi Tanzania siyo kisiwa tena
 
Kwamba hao wazungu hawaifahamu Tanzania hadi leo hadi Rais aitangaze?

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufulu hao wote hawakuitangaza Tanzania huko ng'ambo?
 
Wewe nchi zote alitembelea Mhe. Rais umewahi kufika? Unafahamu?

Kama wewe huzifaham unaamini vipi kwamba wao wanafahamu Tanzania? Jidanganyeeeee ....ogopaaaaaaa
 
Samia alimpeleka mwijaku ufaransa ,royal tour ni utapeli yaani hasara tu,Samia anaenda na watu 699.578 kwenye matembezi Dubai??
 
Kazi ya balozi ni nini?
 
Wewe nchi zote alitembelea Mhe. Rais umewahi kufika? Unafahamu?

Kama wewe huzifaham unaamini vipi kwamba wao wanafahamu Tanzania? Jidanganyeeeee ....ogopaaaaaaa

Kila siku inapotangazwa Tanzania kuwa ni "the land of Kilimanjaro" unadhani huo msemo unaishia Kenya tu hapo?

Ukiwa Uchina wanaitambua Tanzania kama nchi waliyoijengea reli, hadi vitoto vidogo vinajua hivyo aibu tupu...

Ukiwa Ulaya na Amerika huko wanajua nchi omba omba isiyoweza manage resources zake na mikopo inayopewa...

Sisi ni matajiri, tuna kila aina ya resources hapa, lakini mafisi yamekabidhiwa bucha yanatafuna kila kitu...

Kama hivi tu tulivyopewa bure na Mungu tunavitafuna na kuwaacha makabaila wanakwapua mali zetu, tutaweza wapi kuendelea vya kupewa kwa masharti na hao hao makabaila??
 
Nchi hii ngumu sana, chawa wa mama mtafanya wananchi wote sasa tuwe na shida ya afya ya akili.
 
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike huko nje.

Watanzania wanaokwenda China, Uturuki, Dubai, Malaysia, Ulaya na America ni wengi kipindi cha mama kuliko kipindi cha JPM. Means exposure inaongezeka. Tunapunguza idadi ya illiterate katika eneo la diplomasia ya kimataifa. Tulizoeshwa kwamba kupanda ndege ni anasa. Leo hii mama ametufungulia njia tunaweza kupanda ndege bila kukutana na vikwazo tuendako. Tunapaswa kumpongeza sana.

Royol tour imewashtua majirani zetu na kuwafanya watamke visa free bila hata kufanya maandalizi , hizi zote ni juhudi za mama. Nitakuwa mnafiki nisipokiri hapa kwamba mama amefanikiwa kuturejeshea uhuru wa kimataifa muda mfupi baada ya sisi kuupoteza.

Aidha, zipo changamoto kubwa zinazokwamisha mama katika kukuza uchumi na mahusiano ya kiuchumi. Nitataja baadhi
1. Wafanyakazi wengi wa wizara ya maliasili na utalii hawamwelewi mkuu wa nchi. Mfano jana tumeona kwenye mitandao wafanyakazi huko Serengeti wanazuia watalii kuendelea na ratiba zao kisa wanataka wakusanye dola hamsini kwa makampuni ya utalii ambayo wanafahamu ofisi zao zilipo na kwamba wakiwapa hills mifumo ya TEHAMA aliyoweka mama itawatambua kama wanadaiwa bila kuathiri utalii. Anatakiwa kwa kitendo kile amfute kazi waziri mwenye dhamana na watendaji wa hifadhi ili next time wajifunze kutoa huduma kwa kuzingatia mazingira kabla ya wageni walioathirika awajaenda kutangaza vibaya huko Duniani.

2. Watendaji katika viwanja vikubwa vya ndege vya Julius Nyerere, KIA na Abeid Aman Karume wamejaa uaskari zaidi kuliko utoaji huduma. Watendaji wasiovaa uniform katika viwanja hivi na wasiokuwa na nametag ni mzigo kwa Taifa. Wanavyotoa huduma ni kama wao ndio wamiliki wa nchi na kwamba wao wasiposema uingie au utoke hautatoka. Viwanja bmvikubwa vyote ikiwemo hata Ethiopia hakuna huu ujinga wakujaza unskilled labour uwanjani. Hakuna ujinga wakuruhusu afisa asiye na uniform Wala name tag kusumbua wageni. Waondoleeni haya mamlaka hawa viumbe wageni wawe na amani kuja tena

3. Mhe. Rais anatafuta wawekezaji lakini mawaziri na watendaji wanaosimamia uwekezaji wamekaa kijeshi zaidi. Hawana moyo wakupunguza usumbufu wa huduma kwa sababu ya rushwa. Kila mtu ni bosi kwenye ofisi yake na hakuna uniformity wala ufuatiliaji wa muda wa utoaji huduma.

4. Mawaziri wa kisekta ni mzigo kwenye eneo la kusisimua uwekezaji. By nature mawaziri wa Tanzania siyo watu wakukaa ofisini lakini pia kila siku wanabadilishwa . Pamoja na hayo mamlaka walizojiwekea mawaziri wamekuwa miungu watu kwenye wizara. Mfano waziri wa uwekezaji asipoamua kupitisha vibali au waziri mwenye dhamana na ajira asiporuhusu appeal za ajira kwa wageni zisikilizwe na atoe maamuzi mtakesha. Mhe. Rais rejesha mamlaka za utoaji huduma kwa Makatibu wakuu. Mawaziri wabaki kufuatilia utekelezaji na kama standards zinafuatwa.

All In all nimpongeze mama kwakuifungua nchi sasa hivi Tanzania siyo kisiwa tena
Hata uwe kiongozi bomu namna Gani huwa hawakosekani wafuasi wa kukutetea. Ndo kama hivi sasa. Teteeni bomu lenu mna haki
 
Wengi wa wanaoropoka ni wale wapumbavu mbumbumbu na hopeless ambao hawajawahi hata kufika hapo Burundi.
 
Hao unaosema wanakuja kutoka mataifa mengine, kwa umeme wetu huu wa mchongo wakirudi kwao unadhani tuna sifa gani huko? pamoja na hayo maroyal tour yenu si kazi bure
 
Yaani Leo Mwijaku, Steve Nyerere ndio wamekuwa senior citizens Nchi hii? Wtz tuna ujinga mwingi Sana.
 
Ni mjinga pekee ataye dhani nchi itaendelea kwa kuomba na rais kutembeza bakuri wakati utajiri tulionao unawazidi mara kibao hizo nchi wahisani. Ni mjinga tu atakaye amini ulete wageni wakuletee maendeleo badaya ya kutengeneza negotiations power kubwa ili wajilete wenyewe (hili Dkt Magufuli aliliweza sana). Hivyo enyi msioelewa endeleenj kupotoka na nchi itakapokuwa imeuzwa kila kitu ndiyo mtajua maana ya alshababu na Hamas (ila hili Mungu hawezi kuruhusu Tanzania kuwa shamba la bibi, eliminate kila idio)
 
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike huko nje.

Watanzania wanaokwenda China, Uturuki, Dubai, Malaysia, Ulaya na America ni wengi kipindi cha mama kuliko kipindi cha JPM. Means exposure inaongezeka. Tunapunguza idadi ya illiterate katika eneo la diplomasia ya kimataifa. Tulizoeshwa kwamba kupanda ndege ni anasa. Leo hii mama ametufungulia njia tunaweza kupanda ndege bila kukutana na vikwazo tuendako. Tunapaswa kumpongeza sana.

Royol tour imewashtua majirani zetu na kuwafanya watamke visa free bila hata kufanya maandalizi , hizi zote ni juhudi za mama. Nitakuwa mnafiki nisipokiri hapa kwamba mama amefanikiwa kuturejeshea uhuru wa kimataifa muda mfupi baada ya sisi kuupoteza.

Aidha, zipo changamoto kubwa zinazokwamisha mama katika kukuza uchumi na mahusiano ya kiuchumi. Nitataja baadhi
1. Wafanyakazi wengi wa wizara ya maliasili na utalii hawamwelewi mkuu wa nchi. Mfano jana tumeona kwenye mitandao wafanyakazi huko Serengeti wanazuia watalii kuendelea na ratiba zao kisa wanataka wakusanye dola hamsini kwa makampuni ya utalii ambayo wanafahamu ofisi zao zilipo na kwamba wakiwapa hills mifumo ya TEHAMA aliyoweka mama itawatambua kama wanadaiwa bila kuathiri utalii. Anatakiwa kwa kitendo kile amfute kazi waziri mwenye dhamana na watendaji wa hifadhi ili next time wajifunze kutoa huduma kwa kuzingatia mazingira kabla ya wageni walioathirika awajaenda kutangaza vibaya huko Duniani.

2. Watendaji katika viwanja vikubwa vya ndege vya Julius Nyerere, KIA na Abeid Aman Karume wamejaa uaskari zaidi kuliko utoaji huduma. Watendaji wasiovaa uniform katika viwanja hivi na wasiokuwa na nametag ni mzigo kwa Taifa. Wanavyotoa huduma ni kama wao ndio wamiliki wa nchi na kwamba wao wasiposema uingie au utoke hautatoka. Viwanja bmvikubwa vyote ikiwemo hata Ethiopia hakuna huu ujinga wakujaza unskilled labour uwanjani. Hakuna ujinga wakuruhusu afisa asiye na uniform Wala name tag kusumbua wageni. Waondoleeni haya mamlaka hawa viumbe wageni wawe na amani kuja tena

3. Mhe. Rais anatafuta wawekezaji lakini mawaziri na watendaji wanaosimamia uwekezaji wamekaa kijeshi zaidi. Hawana moyo wakupunguza usumbufu wa huduma kwa sababu ya rushwa. Kila mtu ni bosi kwenye ofisi yake na hakuna uniformity wala ufuatiliaji wa muda wa utoaji huduma.

4. Mawaziri wa kisekta ni mzigo kwenye eneo la kusisimua uwekezaji. By nature mawaziri wa Tanzania siyo watu wakukaa ofisini lakini pia kila siku wanabadilishwa . Pamoja na hayo mamlaka walizojiwekea mawaziri wamekuwa miungu watu kwenye wizara. Mfano waziri wa uwekezaji asipoamua kupitisha vibali au waziri mwenye dhamana na ajira asiporuhusu appeal za ajira kwa wageni zisikilizwe na atoe maamuzi mtakesha. Mhe. Rais rejesha mamlaka za utoaji huduma kwa Makatibu wakuu. Mawaziri wabaki kufuatilia utekelezaji na kama standards zinafuatwa.

All In all nimpongeze mama kwakuifungua nchi sasa hivi Tanzania siyo kisiwa tena
SGR na Stigler haziishi mnaleta Mang'ana
 
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike huko nje.

Aidha, zipo changamoto kubwa zinazokwamisha mama katika kukuza uchumi na mahusiano ya kiuchumi. Nitataja baadhi

All In all nimpongeze mama kwakuifungua nchi sasa hivi Tanzania siyo kisiwa tena
Naunga mkono hoja
P
 
Safari za Dubai na China huku mitaani zimeongezeka, hongera mlio karibu na jiko.
 
Wengi wa wanaoropoka ni wale wapumbavu mbumbumbu na hopeless ambao hawajawahi hata kufika hapo Burundi.
Sawa mimi mpumbavu mbumbumbu kwa sababu tu sijafika Burundi, ila Zambia nimefika lakini wewe haujafika, kwahiyo na wewe ni mpumbavu mbumbumbu, anko wako alituambia tuhamie Burundi!
 
Back
Top Bottom