Je, tutamkumbuka Rais Samia kwa lipi kubwa alilofanya?

20231221_223645.jpg
 
Mkapa - Benjamin Mkapa Stadium

Kikwete - University of Dodoma, Hospitali ya moyo

Magufuli- Barabara, Magufuli bus terminal, Ikulu Chamwino


Mama Samia Hassan Suluhu nini kikubwa kafanya tumkumbuke?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mwingine ( sijamtaja)
1. Ben saa8
2. TAL huko idodomya
3. Mo
4. Wasiojulikana kibao
5. Mifuko ya sandarusi
Ongezea
 
Mkapa - Benjamin Mkapa Stadium

Kikwete - University of Dodoma, Hospitali ya moyo

Magufuli- Barabara, Magufuli bus terminal, Ikulu Chamwino


Mama Samia Hassan Suluhu nini kikubwa kafanya tumkumbuke?

Sent using Jamii Forums mobile app
Orodha haitatisha.

Mageuzi ya sekta ya Afya

Mageuzi ya Sekta ya Elimu kuanzia Chekechea Hadi Chuo Kikuu

Uhakika wa Maji

Mageuzi ya sekta ya Kilimo

Mageuzi ya sekta za biashara na Uchumi

Maelfu ya Ajira

Mageuzi ya sekta ya Utalii,Arusha ni mashahidi

Mageuzi sekta ya michezo na sanaa

Mwisho tukisema tuweke specific projects nadhani hatutamaliza

View: https://www.instagram.com/p/C1JvgNNNqKg/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Back
Top Bottom