Ili kupata maendeleo ya kweli 2025 Tanzania tunahitaji raisi mwendawazimu atakaye weza kukata tawi alilokalia

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,652
9,248
Kwa hali ya siasa za TANZANIA raisi hutoka chama tawala. Tunahitaji raisi mwendawazimu atakayeweza kuleta katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, raisi asiyeogopa mtu yeyote ndani au nje ya chama, raisi asiyeogopa kupoteza kiti alichokalia, raisi atakayeweza kujitoa sadaka kama yesu kristu kwa ajili ya watu wote, raisi ambaye hana cha kupoteza, raisi atakayeweza kuamua liwalo na liwe lazima katipa mpya ipatikane, na huyo raisi atakuwa ni mwendawazimu.

Je atapatikana? Nawasilisha.
 
Selemani! Mibangi, mishisha, mirungi bado haijakutoka!

Katiba mpya haitakuletea chakula mezani! Alikuja Rais mwenye vigezo ulivyovitaja mkampiga mawe! Pambana na haliyako kamanda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom