Taifa linatarajia kuwa na mpango wa maendeleo wa miaka 25, 2025-2050. Mpango huu naona kama haupati kutangazwa vya kutosha kwa wananchi ili wajue mkoa/wilaya yao inatakiwa kuwa namna gani katika...
Nimeona hii Barua ya Uhamiaji wakikunahusha kwamba watu fulini hoppe ni Wahindi kwamba hawana uraia pacha bali ni raia wa Uingereza na huku wanaishi kwa vibali, hapa nikajiuliza watu kama Manji...
Habari wanajamvi,
Huyu mama amekuwa anaupiga mwingi mpaka unamwagika, lakini akitaka tumkumbuke katika utumishi wake asithubutu kutumia fedha hata senti 5 kuendesha uchaguzi kiiinimacho bila tume...
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.
Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa...
Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha...
Magari ya Serikali e.g SU, STK, DFP, V8, Land Cruiser Mkonga n.k haya magari ni wazi yana sheria za tofauti na zetu sisi wengine ambao tunaendesha Benz, Bmw, Toyoya,Subaru na the likes.
Kwenye...
Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali.
Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo...
Sijaona kabisa CHADEMA wakichukua hatua za makusudi kutuomba radhi kwa namna moja au nyingine Sisi tuliowaunga mkono kwenye Uchaguzi wa 2015 na wale walioendelea kuwaunga mkono kwenye Uchaguzi...
Chama cha mapinduzi kilipuuza tukio la imani za kishirikina na ukatili lililofanywa na Mbunge Gekul kwa kuvikataza vyombo vya dola kuchunguza wala kuchukua hatua.
Leo tena wana CCM wamerekodiwa...
Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu.
Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo
Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia.
Mimi...
Baada ya Maadui wa Samia kupambana Kwa Kila Hali kuanzia makanisani Hadi wanaharakati uchwara Ili Wamuangishe Kupitia sakata la DP World Kwa kueneza Kila aina ya uzushi na fitina lakini...
Mimi chief nimpongeze Rais Samia kwa mzigo wa miradi anoopiga, kiukweli ukweli anapambana na kujitahidi sana, maua kwake ingawa 2025 simpi kura yangu maana kuna mbunge wake mmoja darasa la 4B tena...
Tuko katika Juma la Mwisho la mwaka 2023 basi tumuombe mwenyezi Mungu wa Mbinguni atuatamie kwa ulinzi wake Ili kwa neema yake tukauone Mwaka mwingine wa Mungu 2024
Tunapofunga mwaka tutafakari...
Askofu mkuu mteule wa KKKT Dr Malasusa amesema Watu Wamejaa Tamaa na kwa sababu hiyo Rushwa na Dhuluma Vimerejea tena kwa kasi
Source: Mwanahalisi Online
Watu wengu wamekuwa wanasifia project mara za Madaraja, Barabara na kadhalika ila kitu ambacho watu hawajui nikwamba hizi project haziwezi Ondoa Umasikinikini kamwe, na ndio maana kuna maeneo kuna...
Ulipoteuliwa kuwa waziri nilipata matumaini makubwa kwamba Kiwanja changu ambacho naambiwa namba zimeingiliana na kiwanja kingine lingetatuliwa.
Nimefuatilia zoezi la kupata hati kwa miaka 3...