Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Magari ya Serikali e.g SU, STK, DFP, V8, Land Cruiser Mkonga n.k haya magari ni wazi yana sheria za tofauti na zetu sisi wengine ambao tunaendesha Benz, Bmw, Toyoya,Subaru na the likes.
Kwenye taa wao huvuka hata kama ni red. Na traffic wapo pembeni wala hawahangaiki nao hawa madereva. Atalazimisha kupita pita mpaka afike mbele avuke ingawa kuna red light inasoma pale juu.
Kwenye zebra pia. Nako huwa hawajali kabisa kusimama. Yaani kifupi hawa jamaa ni kuwa huwa muda wote ni kama wanaharaka sana. Na unashangaa wana haraka gani? Mbona nchi imeshachelewa sana?
Kwenye speed limit ya 50 wao hupita na 120 na kuendelea. Ni madereva ambao wamejaa kiburi na ujivuni wa hali ya juu. Na cha kushangaza traffic hawajihusishi nao. Ukiuliza traffic anasema akamate wa nini wakati anajua hatopewa chochote toka kwao.
But ni hatari sana kwa mustakabali wa sheria zetu na usalama wa barabarani. Je hawa wana sheria zao tofauti? Wapo juu ya sheria?