Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu.

Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo

Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia.

Mimi nimeona demeanor yake.

Anachowza ni ruzuku tu.
1000006035.jpg
 
Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu.

Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo

Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia.

Mimi nimeona demeanor yake.

Anachowza ni ruzuku tu.View attachment 2843718

Unamaanisha nini? Loh! Ina maana una uwezo mdogo kiasi hata cha kushindwa kufikisha fikra zako kwa wasomaji?
 
Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu.

Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo

Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia.

Mimi nimeona demeanor yake.

Anachowza ni ruzuku tu.View attachment 2843718
Kiambatanisho kilichopo katika uzi wako kinatoa tafsiri halisi ya jinsi ulivyo, hisia zako, wivu wa kike, na kile kinachokusumbua siku zote juu ya Mbowe
 
Acha kutegemea watu wengine wakupiganie, wewe mtoa hoja umefanya nini kupigania haki ya kidemokrasia ndani ya nchi yetu?,kutwa kulalama humu, elewa Mh.Mbowe amekua na kuishi kwenye top class family, hana shida na hanunuliki ni vipande vya pesa, Mh. Mbowe amekaa jela more than 250days bila ya kuwa na wapendwa wake ili apiganie haki ya mazuzu kama wewe mtoa hoja hii, upo chini ya uvungu wa kitanda chako kwa sababu ya uzuzu wa uoga na kulalama hivi, shut up kama huwezi kufanya push back
 
Jinga kabisa . Lipuuuzi
 
We bwege Mbowe alikaa selo baada ya kuvunja sheria za nchi. Yule mkabila amtetee nani. We kweli mwendawazimu
 
We humjui
We unalala naye. Yule makengeza ameshindwa hata kuongoza chama alisafiria nyota za kina Dr Slaa, Zitto, Mkumbo na wengine wengi ambao sahivi wamemkimbia, yeye km yeye ni mtupu. Lini mchaga kaongoza taasisi ya kitaifa ikafanikiwa.
Ni mazuzu tu ya nchi hii yasiyoelewa.
 
Back
Top Bottom