Baada ya wengi kuunga mkono tukio la 'Covid-19', kuipigia Kura tena CHADEMA kunahitaji Moyo na Akili za Mwendawazimu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Sijaona kabisa CHADEMA wakichukua hatua za makusudi kutuomba radhi kwa namna moja au nyingine Sisi tuliowaunga mkono kwenye Uchaguzi wa 2015 na wale walioendelea kuwaunga mkono kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020.

1. CHADEMA Wabunge wenu walitudharau baada tu ya kuwachagua wakamkimbilia Shujaa Maguful na kutuacha Solemba, ndani Gekul, Waitara, Ryoba, Nassary, Dr Mollel, nk.

2. Baada ya 2020 Wapigakura kuwapambania kwa jasho na Damu lakini Halina Mdee na wenzake walipoona kura hazijatosha wakajipeleka kwa Shujaa Magufuli wao na nyongeza ya zawadi.

3. Mbowe alipokamatwa kwa Ugaidi wa Mchongo tulimpigania na kumchangia lakini Mungu wa Mbinguni aliposikia Sala zetu kama Paulo na Silla huyu Mbowe alivyotoka badala ya kuja Ufipa st tulipokuwa tunamchangia yeye akakimbilia White House Kuomba maridhiano.

Kiukweli bila toba ya kweli CHADEMA wajiandae kuumia zaidi.

Mungu wa Mbinguni uturehemu sisi.😄
 
Hivi wananchi wakisema waiadhibu CCM kulingana na matendo yake ingekuwaje? Nadhani hata mleta mada unachangamsha genge kwa hii mada yako.

95% ya members wa CCM wapo kimaslahi zaidi na si kwa sababu wanaamini kwamba CCM inaweza kuwa na jipya sasa au siku zijazo. Ila ni mrija wa kuvuta pesa ya umma.
 
Watanzania wote tupo kwenye chungu cha ccm yaani jehanamu ,ili kuendelea lazima chungu hicho kitobolewe
 
Sijaona kabisa CHADEMA wakichukua hatua za makusudi kutuomba radhi kwa namna moja au nyingine Sisi tuliowaunga mkono kwenye Uchaguzi wa 2015 na wale walioendelea kuwaunga mkono kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020.

1. CHADEMA Wabunge wenu walitudharau baada tu ya kuwachagua wakamkimbilia Shujaa Maguful na kutuacha Solemba, ndani Gekul, Waitara, Ryoba, Nassary, Dr Mollel, nk.

2. Baada ya 2020 Wapigakura kuwapambania kwa jasho na Damu lakini Halina Mdee na wenzake walipoona kura hazijatosha wakajipeleka kwa Shujaa Magufuli wao na nyongeza ya zawadi.

3. Mbowe alipokamatwa kwa Ugaidi wa Mchongo tulimpigania na kumchangia lakini Mungu wa Mbinguni aliposikia Sala zetu kama Paulo na Silla huyu Mbowe alivyotoka badala ya kuja Ufipa st tulipokuwa tunamchangia yeye akakimbilia White House Kuomba maridhiano.

Kiukweli bila toba ya kweli CHADEMA wajiandae kuumia zaidi.

Mungu wa Mbinguni uturehemu sisi.
Una usenge mwingi sana wewe malaya. Nakuombea 2024 usiwe mpumbavu hivi! Sawa? Haya sema Ameen!
 
Back
Top Bottom