Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

Astrid

Member
Dec 4, 2023
5
3
MH. MWENYEKITI WA CCM TAIFA,

Kwa unyenyekevu nakusalimu kwa salamu ya chama chetu ..... Kudumu Chama Cha Mapinduzi.

MH. MWENYEKITI,
Mimi leo nimeona ni vema nijitokeze kwako tu ili nikuombe wewe unipendekeze jina langu ili niweze kuwa KATIBU MKUU WA CCM TAIFA. Nimefanya hivyo kwa sababu naamini wazi kuwa naamini nitaweza kuitumikia nafasi hiyo kwa weledi mkubwa na kuleta tija kubwa katika chama chetu na Taifa kwa ujumla.

Vile vile nimeamua kuomba nafasi hii kwako kwa kupendekeza jina langu kwa sababu nitakusaidia sanw wewe Mh. Mwenyekiti kwa kuhakikisha kuwa chama chetu kinafuata misingi ya haki na kutimiza wajibu wake kwa wanachi na wanachama wote hasa kwa kuisimamia serikali kutekeleza yale yote ambayo chama imehaidi kuyatekeleza, na hili litafanikiwa kwa kuhakikisha viongozi wazembe walioko serikalini - hasa wa kuchaguliwa kama vile mawaziri au wabunge, na wateule wengineo au watumishi wasiowajibika wanashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kichama ikiwemo kukushauri Mwenyekiti uwaweke pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Pia nakuhakikishia kuwa nitaleta umoja ndani ya chama na kuondoa makundi ndani ya chama chetu.

MH. M/KITI kwa hali ilivyo Sasa, chama chetu kimegawanyika katika makundi sana na hii sio siri - makundi yamerudi na Yana nguvu na yanajiandaa kwa ajili ya 2025. Wana mtandao wapo kazini - kuanzia kusini hadi kaskazini, magharibi hadi mashariki, bara hadi visiwani. Jambo hili sio siri lipo na jiandae kwa upinzani mkubwa kutoka ndani ya Chama unachokiongoza.

Kwa moyo wa utumishi uliotukuka (17 years as a government employee) NISEME kwa kurudia tena: NAOMBA UNIPENDEKEZE JINA LANGU KUWA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA.

Kwa kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:
  • Elimu ya juu ya Chuo kikuu ( ndani na nje ya nchi - 7 years abroad in two different countries - Scandinavia and Netherlands).
  • Government employee - higher learning Institution
  • Mgombea wa nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya MH. Ndugai ku-step down.
  • Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, na nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM TAIFA ( japo nilifanyiwa figisu mkoani).
  • Mgombea wa nafasi ya Ubunge kwa mwaka 2020, - ni Mgombea pekee ambaye sikutoa rushwa hata ya sh. 100 kuhonga wajumbe wa CCM na nilikuwa mtu wa 14 kati ya wagombea 32.
  • SINA MAKUNDI - neutral person na sitegemei kuegemea upande wowote, kwangu nafasi hii itakuwa kiutendaji zaidi ( Mtendaji Mkuu wa Chama), no need to be biased to anyone.

Kama itakupendeza - CV yangu ipo hapo jengo la CCM WHITE HOUSE unaweza kuomba vijana wako wakakuletea mezani au vinginevyo naweza kukutumia more recent CV.

CODES: Mgombea nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi - CCM baada ya MH. Ndugai ku-step down, Mgombea aliyesomea Scandania - 6 years, and one year in Netherlands.

Nakutakia kila lakheri na Mungu akulinde na kukubariki ili uweze kuiongoza vema nchi yetu, na pia naomba Mungu akuongoze Ili usisahau OMBI LANGU.

Astrid.
 
Jina lako liko wapi hapo chini?

15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .

Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
  2. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
  3. Dr. Mussa Shafii Ngonyani
  4. Wakili Faraji Rushagama
  5. Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
  6. Hamisi Rajabu
  7. Festo John Kipate
  8. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  9. Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
  10. Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
  11. Thomas David Kirimbunyo
  12. Angelina Bello John
  13. Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
  14. Dr. Tulia Ackson : Naibu spika chini ya Job Ndugai
  15. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
  16. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  17. Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
  18. Joseph Musukuma :
  19. Ezekiel Maige : waziri wa zamani
  20. Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
  21. Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
  22. Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
  23. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
  24. Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
  25. Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
  26. Hatibu Madata Mjega :
  27. Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
  28. Emmanuel Simon Sindama
  29. Bi. Uwesu Msumi
  30. Hilal H. Seif
  31. Wakili Emmanuel Paul Mngare
  32. Athumani Mfutakamba
  33. Wakili Nduruma Majembe
  34. Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
  35. Henry Erasto Kessy
  36. Josephat Malima
  37. Adam Nyanyavanu
  38. Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
  39. Andrew Kevella
  40. Luhanga Mpina
  41. Hussein Migoda Mattaka
  42. Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
  43. Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
  44. Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
  45. Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
  46. Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
  47. Goodluck ole Medeye
  48. Juma Hamza Chumu
  49. Baraka Omary Byabato
  50. Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
  51. Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
  52. Bi. Dotto Balele Mgasa
  53. Wakili Onyango Otieno
  54. Eng. Samuel Hayuma
  55. Merkion Ndofi
  56. Abwene Majula
  57. Patrick Nkandi
  58. Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
  59. Alex Msama
  60. Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
  61. Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 2020
  62. ..

Toka Kumbukumbu mwaka 2015 :
waliogombea nafasi ya uspika toka vyama mbalimbali walikuwa wanane (8) tu

WALIOPITISHWA NA VYAMA VYA SIASA KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA 2015​

Jumla ya wagombea nane (8) wamejitokeza kugombea kiti cha Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Katibu wa Bunge, Dkt Thomas Kashilillah amesema, “nimepokea majina nane kutoka vyama nane vya siasa watakaogombea nafasi ya Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano .”

Amewataja waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kuwa ni, Mhe. Peter Leonard Sarungi kutoka chama cha Alliance for Tanzania Party (AFP), Mhe. Hassan Kisabya Almas kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Dkt. Godfrey Rafael Malisa kutoka Chama cha Kijamii (CCK), na Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM).

Wengine ni Mhe. Goodluck Joseph Ole Medeye kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Richard Shedrack Lyimo kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Hashim Spunda Rungwe kutoka CHAUMMA na Mhe. Robert Alexander Kasinini, Chama cha Democratic Party (DP).

Kwa mujibu wa Dkt Kashilillah, uchaguzi wa Spika utafanyika kesho tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

Mbali na kutaja majina ya wagombea wa Spika wa Bunge, Dkt Kashilillah amesema mpaka tarehe 16/11/2015 jumla ya wabunge 348 wamekwisha sajiliwa.

Aidha Dkt Kashilillah amesema kuwa maandalizi yote kwa ajili ya mkutano wa 11 wa bunge yamekamilika.

Katika mkutano huo wa kwanza wa bunge la 11, kutakuwa na shughuli mbalimbali zikiwemo kumchagua Spika, Naibu Spika na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu

Source : Parliament of Tanzania
 
Mbona kama Lucas Mwashamba!?? vile!!!
 
Mkuu nakushukuru kwa kuileta hii list hapa. Nikiliona jina langu kwa hiyo list hapo huwa napata amani sana moyoni naamini ipo siku nitapata nafasi ya kuitumikia Taifa langu kupitia nafasi ya siasa.

Mungu hujibu kwa wakati ambao yeye anaona unafaa, na muda pia ni mwalimu mzuri sana.

Ubarikiwe sana.

Astrid.
 
Back
Top Bottom