TEC yote ikimkana Papa Francis kuhusu Ndoa za Jinsia Moja tutaamini hata kwenye DP World walikuwa serious!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa Geita.

Endapo Baraza zima la Maaskofu litatoa tamko la kumkana Papa Francisco tutaamini hata kwenye tamko lao la DP World walikuwa serious.

Merry Christmas!
 
56877832.295.jpg

RIP Milembe Selemani
Ni Dhambi kuwatenga au kuwaua Mashoga.
 
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa Geita.

Endapo Baraza zima la Maaskofu litatoa tamko la kumkana Papa Francisco tutaamini hata kwenye tamko lao la DP World walikuwa serious.

Merry Christmas!
Yesu Kristo naye alipata lawama anazopata Papa Paulo Kutoka kwa viongozi wa kidini ya Kiyahudi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi, Yesu aliwajibu amekuja kuwatafuta wadhambi, na kwamba mzima hahitaji daktari ila mgonjwa. Mashoga wasitengwe, wahubiriwe wabadilike, hiyo ndiyo kazi ya kuwatafuta waliopotea, Yesu angetutenga wadhambi wokovu tungeupataje?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mbona unachanganya mambo? Papa amesema wahubiriwe wabadilike au wabarikiwe kwenye mambo yao ya ushoga? Mbona mnakwepa kwepa sana na kujifanya hamuelewi kinachoendelea? Foolish
 
Unao waraka? Je, siyo kweli kwamba Yesu naye aliambiwa ni rafiki wa makahaba na walevi? Mwongozo wa Wakristo ni Biblia, hakuna Aya kwenye Biblia inayoruhusu ushoga, Ila inayotaka wadhambi wasitengwe watafutwe Ipo, Cha ajabu Kuna dini Zina Aya zinazohalalisha liwati,na mauaji hazipigiwe kelele mfano Quran 9:111 Allah amewataka Waislamu watoe nafasi na Mali zao waue na kuuawa ili naye awalipe Pepo, Yaani waue ili walipwe Pepo, kama Hamas wanavyofanya wakiamini watalipwa Pepo, lakini husikii kelele.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa Geita.

Endapo Baraza zima la Maaskofu litatoa tamko la kumkana Papa Francisco tutaamini hata kwenye tamko lao la DP World walikuwa serious.

Merry Christmas!
Kwani nani alikwambia inabarikiwa ndoa ? Muwe mnauliza vizuri. Mafundisho ya ndoa yako pale pale, ni kati ya mwanaume na mwanamke. Na kanisa halitokaa libadili hiyo natural law.
 
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa Geita.

Endapo Baraza zima la Maaskofu litatoa tamko la kumkana Papa Francisco tutaamini hata kwenye tamko lao la DP World walikuwa serious.

Merry Christmas!
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua karibu kila jimbo ujumbe wa Chrismass wa maaskofu ulihusu kupinga utoaji mimba na ndoa za jinsia moja. Maaskofu wengi wamesema mambo haya ni kinyume na maagizo ya Mungu

Kwa Morogoro wameenda mbali zaidi hadi kupinga njia za kisasa za uzazi wa mpango
 
Yesu Kristo naye alipata lawama anazopata Papa Paulo Kutoka kwa viongozi wa kidini ya Kiyahudi kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi, Yesu aliwajibu amekuja kuwatafuta wadhambi, na kwamba mzima hahitaji daktari ila mgonjwa. Mashoga wasitengwe, wahubiriwe wabadilike, hiyo ndiyo kazi ya kuwatafuta waliopotea, Yesu angetutenga wadhambi wokovu tungeupataje?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Yesu alikuja kuhalalisha ushoga/madhambi ama alikuja kuyakemea yasiwepo?
 
Nimeanza kusikia Matamko ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakiikana kauli ya Papa Francisco ya kubariki Ndoa za Jinsia Moja.

Alianza Askofu Ruwai' chi wa DSM na amefuatiwa na Askofu Kassala wa Geita.

Endapo Baraza zima la Maaskofu litatoa tamko la kumkana Papa Francisco tutaamini hata kwenye tamko lao la DP World walikuwa serious.

Merry Christmas!
Wamemtanguliza mmoja, huweki mayao yote katika kapu moja
 
Back
Top Bottom