Viongozi wa CCM Singida wapanga kuuana kwa ushirikina; mpambano wamuhusisha Mhe. Kingu na wenzake

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Chama cha mapinduzi kilipuuza tukio la imani za kishirikina na ukatili lililofanywa na Mbunge Gekul kwa kuvikataza vyombo vya dola kuchunguza wala kuchukua hatua.

Leo tena wana CCM wamerekodiwa huko Singida wakipanga njama za mauaji kwa njia ya ajali au radi. Haya yanafanywa na viongozi wakubwa wa CCM wakiwemo wabunge.

Natumaini huu mfumo wa chama kuishi kwa kuamini sana ushirikina umepelekea chama kupata viongozi wasio na sifa. Angalia umaskini uliopo Singida linganisha na aina ya viongozi hawa akina Kingu ambao wao wanawaza kuua na kutesa wenzao tu. Hakuna baraka zinaweza kupatikana katika aina hii ya viongozi.

Kijana yupo UVCCM anawaza kuua watu sita kisa siasa na chama kimekaaa kimya na kuelekeza hizi clip zisisambazwe. Nikiwa kwenye group la CCM huku kanda ya ziwa kuna kiongozi mkubwa amediriki kuelekeza kwamba polisi wasimamie mtu atakayesambaza habari hizi akamatwe kwa maelezo kwamba chama kitafanyia kazi ndani kwa mfumo wake. Kama huku kuna makatazo yakutochukua unadhani haya makatazo yanakosa baraka kutoka juu?

Chama kimeacha misingi yake nakubali kutumia polisi, tume ya uchaguzi na viongozi wasio na sifa kukandamiza haki. Natambua hizi clip hazitapatikana kwa sababu zimeelekezwa zifungwe ila ukweli ni kwamba tunatengeneza jamii ya ushirikina. Kijana mdogo anawezaje kuwa na carrage yakuua watu sita na tukaona kawaida? Mbunge anawezaje kupanga njama za mauaji ya viongozi wasiokubaliana naye na chama kukaa kimya?

Tumekuwa wepesi sana kufumbia macho maovu kisa yapo ndani ya CCM ila sasa hivi tunakoelekea yataturarua wenyewe kwa wenyewe.....
 
Bila ushahidi usiotiliwa shaka...haya ni majungu kama majungu mengine....na tutayapuuza!
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Why umchafue mh Kingu pekee?

Hii si sawa
 
Why umchafue mh Kingu pekee?

Hii si sawa
Wapi amechaguliwa Kingu hapo......tunaeleza tuhuma zilizopo kwenye clip wewe unawaza kuchafuana.........uchawi unapounganishwa na watu wanaongoza jamii means wanakosa nguvu yakukemea maovu
 
KAFA MWENDAZAKE ITAKUWA WAO WACHA WAFE CCM ITAWAZIKA KWA HESHIMA ZOTE ZA CHAMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wapi amechaguliwa Kingu hapo......tunaeleza tuhuma zilizopo kwenye clip wewe unawaza kuchafuana.........uchawi unapounganishwa na watu wanaongoza jamii means wanakosa nguvu yakukemea maovu
Rusha clip basi

Maana you picked just one name
 
Chama cha mapinduzi kilipuuza tukio la imani za kishirikina na ukatili lililofanywa na Mbunge Gekul kwa kuvikataza vyombo vya dola kuchunguza wala kuchukua hatua.

Leo tena wana CCM wamerekodiwa huko Singida wakipanga njama za mauaji kwa njia ya ajali au radi. Haya yanafanywa na viongozi wakubwa wa CCM wakiwemo wabunge.

Natumaini huu mfumo wa chama kuishi kwa kuamini sana ushirikina umepelekea chama kupata viongozi wasio na sifa. Angalia umaskini uliopo Singida linganisha na aina ya viongozi hawa akina Kingu ambao wao wanawaza kuua na kutesa wenzao tu. Hakuna baraka zinaweza kupatikana katika aina hii ya viongozi.

Kijana yupo UVCCM anawaza kuua watu sita kisa siasa na chama kimekaaa kimya na kuelekeza hizi clip zisisambazwe. Nikiwa kwenye group la CCM huku kanda ya ziwa kuna kiongozi mkubwa amediriki kuelekeza kwamba polisi wasimamie mtu atakayesambaza habari hizi akamatwe kwa maelezo kwamba chama kitafanyia kazi ndani kwa mfumo wake. Kama huku kuna makatazo yakutochukua unadhani haya makatazo yanakosa baraka kutoka juu?

Chama kimeacha misingi yake nakubali kutumia polisi, tume ya uchaguzi na viongozi wasio na sifa kukandamiza haki. Natambua hizi clip hazitapatikana kwa sababu zimeelekezwa zifungwe ila ukweli ni kwamba tunatengeneza jamii ya ushirikina. Kijana mdogo anawezaje kuwa na carrage yakuua watu sita na tukaona kawaida? Mbunge anawezaje kupanga njama za mauaji ya viongozi wasiokubaliana naye na chama kukaa kimya?

Tumekuwa wepesi sana kufumbia macho maovu kisa yapo ndani ya CCM ila sasa hivi tunakoelekea yataturarua wenyewe kwa wenyewe.....
Na Bado. Hawawezi kuibia wananchi hivyo Wakabaki salama.
 
Wauane tu ili viongozi waovu wapungue.... kila la heri kwenye misiba tarajiwa
 
Back
Top Bottom