Serikali ya CCM haina project hata moja ya kuondoa/Kupunguza umasikini nchini.

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,508
Watu wengu wamekuwa wanasifia project mara za Madaraja, Barabara na kadhalika ila kitu ambacho watu hawajui nikwamba hizi project haziwezi Ondoa Umasikinikini kamwe, na ndio maana kuna maeneo kuna kila kitu, barabara, maji, madaraja ila still kuna umasikini wa kutisha.

Nenda Kanda ya ziwa huko, kuna Barabara, zahanati, madaraja, ila unaona umasikini ulivyo tamalaki kwenye jamii, sababu ni kwamba Serikali haijaja na Projects za kuwa uplift kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Na Projects za kuondoa umasikin CCM wanazikwepa sana make watakosa watu wa kuhonga Kanga na Kofia hivyo wamekomaa na project za miundo mbinu pekee.

Project za kuondoa Umasikini ni zipi hizo? Hizi ni Project zinazo gusa mtu mmoja kwa moja taanu Direct, Mfano Project za Kilimo, Ufugaji, Viwanda vidogo vidogo,Mfano unawapelekea wananchi Project ya Ng'ombe wa Maziwa, hii inawagusa moja kwa moja, Project ya Kilimo chenye tija hii inawagusa noja kwa moja, Viwanda vidogovidogo vinawagusa moja kwa moja.

Ndio maana Ethiopia pamoja na Miradi mikubwa walio nayo raia wanakimbia nchi kwa sababu ya umasikini mkubwa sana ,but niliona Waziri mkuu wao kashituka na sasa wana Project za moja kwa moja za kuhusa maisha ya watu, wamepunguza zile project za sifa ambazo mwisho wa siku hazina impact kwa watu wa chini.Wana project moja kubwa mno ya kilimo cha ngano kwa irigation.

Bongo ukiwaambia CCM haijafanya cha maana kwa wananchi wake, Chawa wanakimbilia kutaja Madaraja na Barabara.

Umasikini unaondolewa kwa kuwa na miradi ya kugusa jamii moja kwa moja na Asia ndio kitu wanafanya. Sikatia miradi ya miundo mbinu ila inapaswa kwenda sambamba na miradi ya kugusa jamii.

Inajengwa reli kubwa ya SGR, nilitegemea iende sambamba na projects zingine za kuinua maisha ya raia ili basi wafanye uzalishaji na SGR ipate mizigo. Tofauti na hapo tegemea SGR kurudi tupu Dar na kutoka Dar itubebeee mizigo kutoka China.
 
Umaskini wenu ndio mtaji wa ccm sasa wawaletee project ili iweje ??
 
UMASIKINI UJINGA NA MARADHI NI MTAJI MZURI KWA CCM . CCM INAHANGAIKA KIONDOA MARADHI TU NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITALI UJINGA NA UMASIKINI HAVITAONDOKA KAMWE KWA WATANZANIA KWANI UKIWA NA TAIFA LA WAJINGA NA MASIKINI wengi NI RAHISI SANA KUWATAWALA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Watu wengu wamekuwa wanasifia project mara za Madaraja, Barabara na kadhalika ila kitu ambacho watu hawajui nikwamba hizi project haziwezi Ondoa Umasikinikini kamwe, na ndio maana kuna maeneo kuna kila kitu, barabara, maji, madaraja ila still kuna umasikini wa kutisha.

Nenda Kanda ya ziwa huko, kuna Barabara, zahanati, madaraja, ila unaona umasikini ulivyo tamalaki kwenye jamii, sababu ni kwamba Serikali haijaja na Projects za kuwa uplift kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Na Projects za kuondoa umasikin CCM wanazikwepa sana make watakosa watu wa kuhonga Kanga na Kofia hivyo wamekomaa na project za miundo mbinu pekee.

Project za kuondoa Umasikini ni zipi hizo? Hizi ni Project zinazo gusa mtu mmoja kwa moja taanu Direct, Mfano Project za Kilimo, Ufugaji, Viwanda vidogo vidogo,Mfano unawapelekea wananchi Project ya Ng'ombe wa Maziwa, hii inawagusa moja kwa moja, Project ya Kilimo chenye tija hii inawagusa noja kwa moja, Viwanda vidogovidogo vinawagusa moja kwa moja.

Ndio maana Ethiopia pamoja na Miradi mikubwa walio nayo raia wanakimbia nchi kwa sababu ya umasikini mkubwa sana ,but niliona Waziri mkuu wao kashituka na sasa wana Project za moja kwa moja za kuhusa maisha ya watu, wamepunguza zile project za sifa ambazo mwisho wa siku hazina impact kwa watu wa chini.Wana project moja kubwa mno ya kilimo cha ngano kwa irigation.

Bongo ukiwaambia CCM haijafanya cha maana kwa wananchi wake, Chawa wanakimbilia kutaja Madaraja na Barabara.

Umasikini unaondolewa kwa kuwa na miradi ya kugusa jamii moja kwa moja na Asia ndio kitu wanafanya. Sikatia miradi ya miundo mbinu ila inapaswa kwenda sambamba na miradi ya kugusa jamii.

Inajengwa reli kubwa ya SGR, nilitegemea iende sambamba na projects zingine za kuinua maisha ya raia ili basi wafanye uzalishaji na SGR ipate mizigo. Tofauti na hapo tegemea SGR kurudi tupu Dar na kutoka Dar itubebeee mizigo kutoka China.
Machadema mna project ipi japo ya kwenye Makaratasi?

Ccm Wana project kibao tuu kama Tasaf,BBT(Kilimo& mifugo) ,wanakopesha maboto ya Kisasa Wavuvi,wanawawezesha wakulima Kwa pembejeo na kununua mazao Yao,Elimu Bure kuanzia chekechea Hadi University nk nk

Mwisho umaskini ni Suala mtambuka haliondolewi na specific projects Bali working system yote Kwa pamoja.
 
Watu wengu wamekuwa wanasifia project mara za Madaraja, Barabara na kadhalika ila kitu ambacho watu hawajui nikwamba hizi project haziwezi Ondoa Umasikinikini kamwe, na ndio maana kuna maeneo kuna kila kitu, barabara, maji, madaraja ila still kuna umasikini wa kutisha.

Nenda Kanda ya ziwa huko, kuna Barabara, zahanati, madaraja, ila unaona umasikini ulivyo tamalaki kwenye jamii, sababu ni kwamba Serikali haijaja na Projects za kuwa uplift kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

Na Projects za kuondoa umasikin CCM wanazikwepa sana make watakosa watu wa kuhonga Kanga na Kofia hivyo wamekomaa na project za miundo mbinu pekee.

Project za kuondoa Umasikini ni zipi hizo? Hizi ni Project zinazo gusa mtu mmoja kwa moja taanu Direct, Mfano Project za Kilimo, Ufugaji, Viwanda vidogo vidogo,Mfano unawapelekea wananchi Project ya Ng'ombe wa Maziwa, hii inawagusa moja kwa moja, Project ya Kilimo chenye tija hii inawagusa noja kwa moja, Viwanda vidogovidogo vinawagusa moja kwa moja.

Ndio maana Ethiopia pamoja na Miradi mikubwa walio nayo raia wanakimbia nchi kwa sababu ya umasikini mkubwa sana ,but niliona Waziri mkuu wao kashituka na sasa wana Project za moja kwa moja za kuhusa maisha ya watu, wamepunguza zile project za sifa ambazo mwisho wa siku hazina impact kwa watu wa chini.Wana project moja kubwa mno ya kilimo cha ngano kwa irigation.

Bongo ukiwaambia CCM haijafanya cha maana kwa wananchi wake, Chawa wanakimbilia kutaja Madaraja na Barabara.

Umasikini unaondolewa kwa kuwa na miradi ya kugusa jamii moja kwa moja na Asia ndio kitu wanafanya. Sikatia miradi ya miundo mbinu ila inapaswa kwenda sambamba na miradi ya kugusa jamii.

Inajengwa reli kubwa ya SGR, nilitegemea iende sambamba na projects zingine za kuinua maisha ya raia ili basi wafanye uzalishaji na SGR ipate mizigo. Tofauti na hapo tegemea SGR kurudi tupu Dar na kutoka Dar itubebeee mizigo kutoka China.
yale madaraja yaliyojengwa baadhi ya fedha zilipatikana kwa dhurma, kuna matajiri walikuwa wakiamka asubuhi wanakuta fedha zao zimekombwa kwenye account zao benki,.....na mtu akitaka kuzipigania tu anatishiwa kupewa kesi ya uhujumu na utakatishaji fedha........yule mzee achomeke tu huko motoni.
 
Back
Top Bottom