Waziri Jerry Slaa nalalamika kwako

Dseni

Member
Aug 13, 2012
36
42
Ulipoteuliwa kuwa waziri nilipata matumaini makubwa kwamba Kiwanja changu ambacho naambiwa namba zimeingiliana na kiwanja kingine lingetatuliwa.

Nimefuatilia zoezi la kupata hati kwa miaka 3 sasa; nililipia hati! Lakini ghafla nikaambiwa namba ya kiwanja imeingiliana na kiwanja kingine. Je hili ni tatizo la kudumu kwa muda gani?

Naamini wapo wengine wenye shida hii. Manispaa ya Kinondoni wanajua vizuri sana. Muanala wake ni: Bili #KND00390638, namba ya malipo #991177252780 na kiasi cha 138,682 TZS kwa malipo ya muamala #KND01460187. Mwisho wa malipo tarehe 02-Jun-2023.
Nililipa mpaka leo ni chenga tu!

Tatizo la ardhi si dogo!
Lugha mbaya!
Majibu mabaya!
Kurudishwa mara kadhaa!

Waziri, nimetuma maelezo yangu kwako! Lakini naona unawahudumia wengine kwanza!

Je suala la kuingiliana kwa namba linatatuliwaje?

0769-080-629
 
Ardhi kuna uozo. Kila ofisi ya Ardhi ni tatizo kubwa sana.
Binafsi nimekuwa kama mfanyakzi wa wizara hiyo kwa jinsi ninavyoshinda maofisini mwao, maana nimesumbuliwa na hao jamaa!!
 
Baada ya awamu ya 5 kukatika ghafla, utendaji kazi sehemu nyingi imerudi nyuma, sasa tatizo ni uongozi ay wafanyakazi wenyewe hawajui majukumu yao.
 
Ulipoteuliwa kuwa waziri nilipata matumaini makubwa kwamba Kiwanja changu ambacho naambiwa namba zimeingiliana na kiwanja kingine lingetatuliwa.

Nimefuatilia zoezi la kupata hati kwa miaka 3 sasa; nililipia hati! Lakini ghafla nikaambiwa namba ya kiwanja imeingiliana na kiwanja kingine. Je hili ni tatizo la kudumu kwa muda gani?

Naamini wapo wengine wenye shida hii. Manispaa ya Kinondoni wanajua vizuri sana. Muanala wake ni: Bili #KND00390638, namba ya malipo #991177252780 na kiasi cha 138,682 TZS kwa malipo ya muamala #KND01460187. Mwisho wa malipo tarehe 02-Jun-2023.
Nililipa mpaka leo ni chenga tu!

Tatizo la ardhi si dogo!
Lugha mbaya!
Majibu mabaya!
Kurudishwa mara kadhaa!

Waziri, nimetuma maelezo yangu kwako! Lakini naona unawahudumia wengine kwanza!

Je suala la kuingiliana kwa namba linatatuliwaje?

0769-080-629
Waziri kazi yake kuvaa makoti, masuti na kutoa maagizo yasiyotekelezeka. Ili upate haki yako hyo wizara nipewe mi, ndani ya miezi miwili migogoro yote itakua imeisha. Maafisa ardhi na viongozi wa serikali wanachangia kwa 50% ya migogoro ya ardhi
 
WATENDAJI WA ARDHI kitendo cha kukaa kituo kimoja zaidi ya miaka 5 ni tatizo wanatengeneza migogoro na kwa kuwa wapo migogoro Wanailinda hivyo haiishi.Watendaji wa Ardhi wangekuwa wanakaa kituo kimoja chini ya Miaka 5 na uhamisho wao ungekuwa Kama wa Polisi

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ardhi kuna uozo. Kila ofisi ya Ardhi ni tatizo kubwa sana.
Binafsi nimekuwa kama mfanyakzi wa wizara hiyo kwa jinsi ninavyoshinda maofisini mwao, maana nimesumbuliwa na hao jamaa!!
aseeeh polee sana.
 
Back
Top Bottom