Mkuu wa Mkoa wa Mara atangaza kuanza kuwalipa Waandishi wa Habari Laki moja na ishirini (120, 000) kwa siku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Bwana Said Mtanda , ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ametangaza hadharani na kumuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuanza kuwalipa posho ya sh 120, 000 , waandishi wa habari wanaoambatana nao kwenye shughuli zao

Akizungumza kwa style ya Majivuno na kujigamba , Bwana Mtanda amedai kwamba Mkuu wa Mkoa ni mtu mkubwa , haiwezekani wanaoambata naye walipwe hela ndogo kama elfu 30 , na kwamba kuanzia leo waanze kulipwa kitita kipya , Hata hivyo Mtanda amekiri kwamba jambo hilo analolifanya halipo kwenye kanuni , ila amedai kutoka na ukubwa wake kama Mkuu wa Mkoa ni lazima lifanyike .

Bali hoja yetu ni hii , Waandishi wa Habari ni waajiriwa wa vyombo vyao vya habari , kwanini walipwe na RC wanapokuwa kwenye majukumu yao , Je hii ni Rushwa ili kuficha uchafu wa Mtanda , ambaye anatajwa mara kadhaa kutoroka Majukumu ya kiofisi ili kwenda kuangalia mechi za Yanga ? Je ni Mikoa mingapi inayomwaga Bahasha za Khaki kama anavyofanya Mtanda , na zinatoka kwenye mfuko gani wa serikali ?

Screenshot_2023-12-31-13-43-12-1.png
Screenshot_2023-12-31-13-44-00-1.png
 
View attachment 2858542View attachment 2858543
Pesa hizo zitatoka kwenye fungu gani au kutoka kwenye bajeti gani??
 
Nampongeza sana Mbowe kwa sapoti ya kisiasa anayompa Dr Mama Samia ambaye ni mgombea mtarajiwa wa urais 2025 kupitia CCM. Ni wazi kuwa Mbowe kaona hakuna kama Mama Samia bora aunge mkono juhudi zake za kuwaletea maendeleo watanzania. Zile 150m zingeweza kutangazwa na Mchungaji wa kanisa la Bethel ila Mbowe akaona fursa adimu ya kumsapoti mama na kuamua kutangaza mwenyewe. Abarikiwe sana Mbowe (mmiliki wa CHADEMA)
 
Nchi hii inavituko sana, mtu anaitangaza Brown Envelop(Rushwa) kwa kujisifu kabisa.

Who pays the piper calls for the tune. Tutarajie umma kutopata uhalisia na habari sahihi bali zile zinazomfurahisha mlipaji.

Kuwa na majigambo kwamba wewe ni mtu mkubwa sana, mkubwa kwa nani?
Viongozi tujitahidi sana kuwa wanyenyekevu, itatusaidia sana kwenye kesho yetu na majukumu yetu.
 
Bwana Said Mtanda , ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ametangaza hadharani na kumuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuanza kuwalipa posho ya sh 120, 000 , waandishi wa habari wanaoambatana nao kwenye shughuli zao

Akizungumza kwa style ya Majivuno na kujigamba , Bwana Mtanda amedai kwamba Mkuu wa Mkoa ni mtu mkubwa , haiwezekani wanaoambata naye walipwe hela ndogo kama elfu 30 , na kwamba kuanzia leo waanze kulipwa kitita kipya , Hata hivyo Mtanda amekiri kwamba jambo hilo analolifanya halipo kwenye kanuni , ila amedai kutoka na ukubwa wake kama Mkuu wa Mkoa ni lazima lifanyike .

Bali hoja yetu ni hii , Waandishi wa Habari ni waajiriwa wa vyombo vyao vya habari , kwanini walipwe na RC wanapokuwa kwenye majukumu yao , Je hii ni Rushwa ili kuficha uchafu wa Mtanda , ambaye anatajwa mara kadhaa kutoroka Majukumu ya kiofisi ili kwenda kuangalia mechi za Yanga ? Je ni Mikoa mingapi inayomwaga Bahasha za Khaki kama anavyofanya Mtanda , na zinatoka kwenye mfuko gani wa serikali ?

View attachment 2858542View attachment 2858543
Huwa nikisema ukweli kuhusu ufinyu wà busara wa huyu Bwana Mtanda wanajitokeza Chawa wake kina Milard Ayo kumsafisha na kusema tuna chuki binafsi. Mtanda ni kiongozi wa kiwango cha chini kabisa anayebebwa na Kasimu Majaliwa kama rafiki binafsi na Salma Kikwete kama Mpinzani wake jimboni ili asichukue fomu ya Ubunge maana aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo analoashikilià. Ni kiongozi wa ngazi ya Kati lakini mtengeneza Chawa na wapambe kuliko mawaziri wengi.
 
Inawezekana anatoa mfukoni mwake kama Mr Mtanda.
 
Nampongeza sana Mbowe kwa sapoti ya kisiasa anayompa Dr Mama Samia ambaye ni mgombea mtarajiwa wa urais 2025 kupitia CCM. Ni wazi kuwa Mbowe kaona hakuna kama Mama Samia bora aunge mkono juhudi zake za kuwaletea maendeleo watanzania. Zile 150m zingeweza kutangazwa na Mchungaji wa kanisa la Bethel ila Mbowe akaona fursa adimu ya kumsapoti mama na kuamua kutangaza mwenyewe. Abarikiwe sana Mbowe (mmiliki wa CHADEMA)
Umpongeze au usimpongeze haimuondolei lolote mh Mbowe.
 
Huwa nikisema ukweli kuhusu ufinyu wà busara wa huyu Bwana Mtanda wanajitokeza Chawa wake kina Milard Ayo kumsafisha na kusema tuna chuki binafsi. Mtanda ni kiongozi wa kiwango cha chini kabisa anayebebwa na Kasimu Majaliwa kama rafiki binafsi na Salma Kikwete kama Mpinzani wake jimboni ili asichukue fomu ya Ubunge maana aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo analoashikilià. Ni kiongozi wa ngazi ya Kati lakini mtengeneza Chawa na wapambe kuliko mawaziri wengi.
Aiseeeeee !!!!!
 
Back
Top Bottom