Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,866
Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana,
Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!?
Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji juhudi zaidi kwa wachezaji wa kiafrika,sio kuruka ruka tu mpira unadunda unahama wewe unaanguka chini,kwa namna hii kocha lazima aendelee kutafuta straika mwingine maana anajua itakuja siku nafasi ya pekee utaruka ruka utaukosa mpira na utakosa goli la wazi,na imeisha hiyo,Sasa nani anataka upuuzi huo,kwa nini unakosa utulivu golini,je ni bangi au je ni sababu wewe haujatoka nchi za nje,ungetoka nchi za nje ungejua umuhimu wa clear chance na kufunga goli sio kukosa goli,mpaka lini wachezaji wa kitanzania mtakuwa makini na goli!?
Ngushi alitakiwa kufunga bao 7 dhidi ya Jamhuri lakini kapata clear chance zaidi ya tano yeye na goli lakini kashindwa kuzitumia,hapa akitafutwa straika mwingine tumlaumi nani!?
Je Augustine Okrah ni suluhisho!?
Nitarudi...!
Heri ya Mwaka Mpya.!