Unapotembelea tovuti ya Uhuru,Habari Leo au Dailynews unakwenda kuwa brainwashed au kuangalia kama kuna lolote lenye interest kwako?Kwa sie tulio mbali na nyumbani,kila habari kwamba kuna new news avenue ni good news.By the way,I was just sharing some info with those whose only means of knowing what's happening in Bongo is thru mtandao.
Good question. Sisi tuliohapa nyumbani tunapenda sana mjue yanayotokea huku, mjue ya kweli na mjue yanayohusu maslahi ya taifa letu. Tunaamini kuwa nyie wabongo mlioko huko juu bongo zenu zimepanuka zaidi kuliko za sisi tulioko hapa home. Sasa mkijua issue, really issues zinazohusu maslahi yetu watanzania wote mnaweza kupiga push kubwa sana, kusaida kubadilisha mambo.
Suala la kubrain wash linakuja pale unaposoma news katibu wa kijiji amekamatwa kwa kupokea ruswha, lakini magazeti ya Rostam Aziz hayaandiki grand corruption, sana sana yatazugazuga tu uone kuwa kweli serikali inafanya mambo mazuri.
Angalia tu kwenye column ya kulia chini kabisa, kwe page ya mbele ya hiyo webpage utaona analinda uchafu ambao hata ndani ya CCM wenyewe wanaupinga, sasa what can you call this kind of thing.
Or what kind of news do you want from home my bro!. Unataka habari za kusema Bw Kijiko kafumaniwa na mke wa mtu? Nadhani upeo wa wtu wazima uko kwenye real issues, sio danganya toto