Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura...
16 Reactions
186 Replies
14K Views
Ukitaka kuiondoa CCM madarakani ni lazima kwanza uvunje urafiki wao na Katoliki Kwa sababu kila lilipo Shina la Chama Tawala pana Jumuiya ya Katoliki na Hii haijapangwa ni mifumo imefanana...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya...
1 Reactions
5 Replies
818 Views
Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo...
0 Reactions
7 Replies
726 Views
Dr Yoni Ben amenifanya nielewe kwanini Shujaa Magufuli alishindwa kuiuwa Chadema pamoja na kuwa aliwabondabonda sana Kupitia mahojiano pale Al jazeera Yoni anasema hakuna atakayeweza kuifuta...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
RAIS SAMIA AMETUGHARISHA 2023 Na; Suphian Juma Nkuwi Wakati tupo kwenye mahitimisho ya nderemo na vifijo vya kufunga mwaka 2023 na kuukaribisha Mwaka mpya 2024; bila shaka kila mmoja wetu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema hakuna maendeleo pasipo na amani, umoja na mshikamano wa watu. Rais Alhajj Dkt. Mwinyi amesema hayo...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Kimsingi, matatizo yetu mengi, kuanzia kutokuwa na umeme wa uhakika, barabara za chini ya kiwango, ufisadi kwenye miradi, utawala holela usiofuata misingi ya utawala bora, ukiukaji wa katiba na...
23 Reactions
32 Replies
2K Views
Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Vijana wenzangu amkeni sasa, Maisha magumu, ukosefu wa ajira, kupanda kwa gharama za maisha na mambo mengine ya hovyo kabisa, chanzo chake ni KATIBA hii mbovu inayowanufaisha serikali ya CCM...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Mzee Baraka - CCM IMESALITI, NIA NA SABABU ZA MAPINDUZI MATUKUFU YA 1964 https://m.youtube.com/watch?v=habiWXzPxFM Mzee Baraka Shamte mwenye umri wa miaka 94 aliye na afya njema, katika...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa...
2 Reactions
11 Replies
818 Views
Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara. Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa mfumo wa nchi za kiafrika, hakuna mbunge anayeleta maendeleo, Kama Serikali haina kipaumbele na eneo husika, hata mbunge ufanyeje, huwezi kupata hayo maendeleo Naomba kuwasilisha
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari. Nikiwa mtanzania mkereketwa katika shughuli za kimaisha kila siku. Naomba niseme kitu nafasi ya uwaziri wa afya aliyonayo Ummy mwaimu imumpwaya kwa sasa. Kuna mambo machache yamemtoa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi...
5 Reactions
122 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…