Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.
Nikiri kwamba kati ya miaka ya...
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana.
Yani...
Baada ya mkutano wa Beijing, kuliibuka misemo mingi sana ya kuuaminisha ulimwengu kwamba mwanamke akiwa kiongozi mambo yatakuwa mazuri.
Ndipo tukaja na sera ya kumuwezesha mwanamke kielimu na ile...
Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani .
Watapaswa kuachia fomu hata...
Naomba tumsikilize Naibu katibu mkuu bara Mhe. Kigaila.
Anamwaga madini ya uhakika hadi wahusika waandaaji wanatingisha vichwa kukubali hizo nondo.
Hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu ili...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza na kushuhudia karafuu za magendo...
Ikumbukwe kwamba leo 06/01/2024 kuna kongamano ndani ya Bunge la Tanzania kuhusiana na masuala ya Uchaguzi , na muundo wa Tume huru ya Uchaguzi .
Kwa muda fulani Dodoma ilijaa bashasha na shangwe...
Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Kabla...
Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer.
JASIRI
Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri...
Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi..
=====
Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa...
Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo.
Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa...
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern".
Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye...
Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika...
Leo Mbunge Ester Bulaya ameibua hoja ya kucheleweshwa kwa mradi wa JNHPP na kutaka serikali ilete taarifa rasmi Bungeni na kiasi cha fidia atakacholipa mkandarasi. Kwa kiherehere Kigwangala...
Serikali kwa bahati mbaya sana walifikiria kiurahisi tu watapetesha mishada ili Tanzania tuonekane na sisi tuna chaguzi za kidemokrasia. Matokeo yake ni kwamba Serikali ielewe nchi inabadilika...
Haya mambo ukiyaangalia kwa juu juu unaweza kudhani ni mepesi Kumbe Siyo
Kumpata Mtu wa Kuvaa Viatu Vya Kiongozi makini anayeondoka Siyo jambo jepesi
Kama unabisha kawaulize Manchester United 🐼...
Kwanza ujitoe akili, nyeusi useme nyekundu, pili uonekane unaipenda ccm kuliko wazee wako walio kuzaa, tatu hue tayari kugombana na yoyote hata kama atakua ndugu yako kama atasema mabaya ya ccm...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.
Kaandika hivi:
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.