Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema hakuna maendeleo pasipo na amani, umoja na mshikamano wa watu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema hakuna maendeleo pasipo na amani, umoja na mshikamano wa watu.

Rais Alhajj Dkt. Mwinyi amesema hayo alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya sala ya Ijumaa Msikiti wa Riyadhu swalihin Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba tarehe 05 Januari 2024.

Aidha Rais Dkt. Mwinyi amewataka waumini kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kudumisha amani, upendo, umoja na mshikamano.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi ameeleza kuwa ni wajibu kuwanasihi vijana kufanya kazi za halali na kuepuka kushiriki vitendo viovu.
IMG-20240106-WA0165.jpg
IMG-20240106-WA0164.jpg
IMG-20240106-WA0161.jpg
IMG-20240106-WA0162.jpg
IMG-20240106-WA0163.jpg
IMG-20240106-WA0160.jpg
 

Attachments

  • IMG-20240106-WA0161.jpg
    IMG-20240106-WA0161.jpg
    114 KB · Views: 2
Huyu mzee maneno na matendo yake ni mbingu na ardhi, ni mtu muovu haswa sema amejificha kwenye dini kama maza naye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom