Ni Taasisi 2 tu Hapa Tanzania zenye Mizizi katika kila Mtaa nazo ni CCM na Kanisa Katoliki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Ukitaka kuiondoa CCM madarakani ni lazima kwanza uvunje urafiki wao na Katoliki

Kwa sababu kila lilipo Shina la Chama Tawala pana Jumuiya ya Katoliki na Hii haijapangwa ni mifumo imefanana kiasili

Jumaa kareem!
 
Hapo ni Kanisa Katoliki pekee, CCM wala haina mizizi ina NEC fake na dola ndiyo zinaibeba, RC watu wanaenda kwa hiari na hakuna Askofu wala Padre wa mchongo wa kulazimisha, ndiyo maana huwezi kusikia waumini wamemkataa Padre au Askofu kama walivyo mkataa Silaa Ukonga.
 
CCM chaguo la Mungu, anayekataa, anapingana na Mungu, yeye ni wa ibilisi
 
Ukitaka kuiondoa CCM madarakani ni lazima kwanza uvunje urafiki wao na Katoliki

Kwa sababu kila lilipo Shina la Chama Tawala pana Jumuiya ya Katoliki na Hii haijapangwa ni mifumo imefanana kiasili

Jumaa kareem!
Hakuna mwenye tatizo na uwepo wa mizizi Kila mahali, kwasasa tunajali ubora zaidi sio ukubwa.
 
Hapo ni Kanisa Katoliki pekee, CCM wala haina mizizi ina NEC fake na dola ndiyo zinaibeba, RC watu wanaenda kwa hiari na hakuna Askofu wala Padre wa mchongo wa kulazimisha, ndiyo maana huwezi kusikia waumini wamemkataa Padre au Askofu kama walivyo mkataa Silaa Ukonga.
Mapadre wanakataliwa kila mara hapa dar na juzi pale maji matitu wamemkataa padre kuwa ni mzinzi sana. Majuzi tena wamemkataa padre pale magomeni alipotaka kukomnisha hakuna muumini hata mmoja aliyeenda kwake mpaka ikabidi sister ndo apewe karis
 
Onyesha picha
 
Ukitaka kuiondoa CCM madarakani ni lazima kwanza uvunje urafiki wao na Katoliki

Kwa sababu kila lilipo Shina la Chama Tawala pana Jumuiya ya Katoliki na Hii haijapangwa ni mifumo imefanana kiasili

Jumaa kareem!
Na wachawi pia
 
Back
Top Bottom