Chadema "ikimaliza" mambo ya Mdee na wenzake ikawapa nafasi wagombee, naliona jimbo la Kawe na Bunda yakirudi Chadema kwa kishindo kitakatifu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.

Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.

Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
 
Mbona Chadema walishakuwepo Kawe zaidi ya miaka 10 na hakuna kilichofanyika.

Wana Kawe haswa sisi tuliopo humu JF, tunajipanga kumchukulia kadi ndugu Pascal Mayalla , ili aje kuwa mgombea wetu katika jimbo letu.
 
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.

Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.

Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Kwani CCM hamtaki wagombea wazuri?
 
Kwani CCM hamtaki wagombea wazuri?
Maridhiano mkuu, au unataka tuchukue vyote kama 2020? Hata Heche kule Tarime, "tutampa" jimbo, pamoja na Lemma Arusha, na Mbowe Hai, Msigwa Iringa, kwa sugu jimbo litapigwa pasu, huoni walivyopoa? Kelele zikiwa nyingi mtamchanganya mpishi chakula kizidi chumvi.

Lissu tutamuacha azurure akitafuta urais, na kwa kuwa anajifanya mwamba, atapigwa za chembe kwa kutohudhuria mara kwa mara kampeni zake, na pia kutotafuta fedha za kampeni yake, na kumminya katika publicity. Mawakala wake hawatapewa fedha, njaa iwagonge, na majumuisho ya kura yawe usiku mnene, njaa imeshawapiga. Mwisho wa mwezi wenzake wanavuta mshahara wa ubunge, yeye atakuwa anahaha kuitisha mikutano na waandishi wa habari.

Baada ya uchaguzi, tunamfrustrate kwa kuwa anajifanya kuutaka uenyekiti,anajua chama kimetoka wapi hiki?
 
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.

Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.

Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
Haswaaaaa!
 
Basi sawa
 
Kakatwe...
 
Chadema haijawahi tegemea individuals, unadhani Bila Mbowe, huyo Mdee angefahamika? Kawe akisimama yeyote kwa push ya CHADEMA atakua maarufu na atabeba jimbo. Mfano Upendo Peneza akipelekwa kawe anashinda asbuhi kweupe.

Tuliwahi kuishinda Dar nzima tukiwa na wabunge, madiwani, na mameya wa kumwaga ambao kabla ya 2015 hukuwahi wasikia, the same will happen in 2025.
 
Mpeleke Peneza, atapigwa kama ngoma, hajajijenga kisiasa, kisiasa ana survive kwa kulishwa nafasi. Kwa miaka michache iliyopita kafanya nini?

Anyway, Mnyika anapenda kupumzika kivulini
 
Acha uongo kaangalie statistics za 2020 Geita mjini, Kama sio ule uchaguzi alikuwa anashinda. Asilimia 42 na hapo udanganyifu umefanyika vitisho na nk.
 
Yaani mleta mada unashauri chadema iwape nafasi wanaccm Mdee na Bulaya ya kugombea kupitia chadema ili wawe wabunge kupitia ccm? Hii haikubaliki na hata katiba hairuhusu.
 
Hao bado ni wana chadema
 
Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara.

Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta msisimuko na pia kuibua mtetemo wa chama katika jamii.

Kazi kwao, ni kucheza karata kwa akili ya ziada. Siasa za kenya huwa hazina adui wa kudumu, bali huangalia malengo ya kisiasa kwa mapana yake.
hapo umenena. Mdee na 19 warudi CDM busara na cost benefit analysis itumike.
 
Back
Top Bottom