Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,949
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.

Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
 
Wanasheria na wabobezi wa Sheria naamini watakupa majibu sahihi.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wajati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Nchi nyingi watu walio nnje ya nchi zao wanapiga kura,vipi kupigiwa?
 
Ngoja chadema wajichanganye na hilo pendekezo, gereza litakalotuunga mkono ndilo litapata favours zaidi.

Chips mayai, godoro, vibagayose, kupunguziwa vifungo na kadha wa kadhalika
 
Ndio Demokrasia ya kweli hiyo badala ya kuigiza ya huko majuu ambao wanatumia Demokrasia kukandamiza Jamii zingine kwa kisingizio za eti 'hao ni mahalifu' Kumbuka, karibia asilimia 40% ya watu weusi ni wafungwa huko majuu.

Sasa kwanini huko majuu wanawanunulia magodoro, wanawalisha vyakula na hata kuwalipa posho halafu wasipige kura?

Naamini ni pendekezo zuri na naamini ni haki ya msingi ya binadamu na wajibu wake/wao kama raia. Itoshe inaongeza uhalali na Uwakilishi. Ndio Demokrasio hiyoooo. Piiipoz mkoje?
..ni maoni yangu
 
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.

Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Haki ya kupigiwa kura unaipata utakapojaza na kuziwasilisha kwa wahusika fomu za kupigiwa kura tofauti na kupiga kura. Haki ya kujaza fomu unaipata endapo uko huru ili uweze kukamilisha masharti ya kuweza kupigiwa kura.
 
Nchi nyingi watu walio nnje ya nchi zao wanapiga kura,vipi kupigiwa?
Huwezi kumpigia kura mtu ambaye hajagombea hata kama ana haki ya kugombea.
Wakitaka kupigiwa kura wagombee, mbona makamu mwenyekiti wenu mlimpigia kura akiwa kwa Amsterdam'?
 
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.

Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Hongera kwa kuliona hili.Hizi ni tabia za kuendekeza wizi wa kura kama vile uchaguzi wa 2020 kutanguliza majeshi kwenda kupiga kura kabla ya siku maalum ya kupiga kura.
 
Haki ya kupigiwa kura unaipata utakapojaza na kuziwasilisha kwa wahusika fomu za kupigiwa kura tofauti na kupiga kura. Haki ya kujaza fomu unaipata endapo uko huru ili uweze kukamilisha masharti ya kuweza kupigiwa kura.
Mkuu na ya kupiga kura si mpaka ujiandikishe au siyo- unakwama wapi?
 
Hilo jambo halijakaa sawa,mfungwq atapigaje kura wakati hata kampeni za uduwani,ubunge na uraisi haja shiriki Wala kisikiliza sera.Sina hakika kama magereza yetu yanavyombo vya habari kama TV!hapa wanataka kutengeneza kura feki
 
Mawazo ya ccm yanawapeleka huko.
 
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.

Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Kilaza ktk ubora wako
 
Hilo jambo halijakaa sawa,mfungwq atapigaje kura wakati hata kampeni za uduwani,ubunge na uraisi haja shiriki Wala kisikiliza sera.Sina hakika kama magereza yetu yanavyombo vya habari kama TV!hapa wanataka kutengeneza kura feki
Nipe ushahidi wahindi na waarabu mnaowapigia kura wakishiriki kwenye kampeni zaidi ya mgombea.
 
Sheria zetu nyingi, zinazuia mtu mwenye rekodi ya kukutwa na kosa la jinai, kugombea/kupewa uongozi!
 
Back
Top Bottom