Rais Mwinyi: Sera ya Uwekezaji ya Zanzibar Itakuwa Bora Afrika Nzima. Kuwapa Msamaha wa Kodi Wawekezaji wa Kimkakati Kwa Miaka 15

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,860
Rais wa Zanzibar Dr.Husein Mwinyi amesema Zanzibar inaenda kuzindua sera Bora kabisa ya uwekezaji hapa Africa ambapo pamoja na mambo mengine itatoa mashamba wa Kodi Kwa wawekezaji wa sekta za kimkakati wa Hadi miaka 15.

View: https://twitter.com/TheGuardianTzO1/status/1744610580638355838?t=hDJV1T7Kx_ShuI6ieBYXWg&s=19

My Take
Hongera sana DR. Mwinyi Kwa kuwa na Maono mapana.Dubai au Mauritius iliendelea Kwa sababu ya Maono ya mbali.

Huku Bara Kila Dada Yako anapotaka kujitahidi kuwasida wajamaa mbuzi wanapinga.Mfano Tumeanza kusikia habari za mchuchuma na Liganda Hadi tunazeeka hakuna Cha maana kimefanyika Kwa sababu Wajamaa wanataka eti pasu Kwa pasu.

Yaani Mwekezaji aweke pesa wewe utake pasu wakati risks zote anabeba mwenyewe? Walidanganywa na Babu Yao kwamba eti Watoto wao watachumba.

Matokeo yake wamezaa Watoto nao ni mbumbumbu vile vile hakuna wanachowwza kufanya.Mozambique hapo Mchina kamwaga zaidi ya Trilioni 30 kwenye kiwanda Cha Madini Chuma huku Bongo Kwa Wajamaa ni porojo za kujifariji 😁😁

Bora ukose Mali ila uwe na akili kuliko una Mali huna akili inaishia Kufa maskini.
 
Zanzibar imejipanga kwenye maendeleo kama ambavyo Nchi nyingine visiwa zinafanya.
 
Miaka ya zamani tukitaka vitu vizuri lazima twende zanzibar
Maana bara huku kulikuwa hakuna

Ova
Itaeudi tena hiyo situation maana Zanzibar inaenda kufunguka Kwa ujenzi wa Bandari 4 , uwekezaji wa Utalii, uchumi wa bluu na service sector.
 
Back
Top Bottom