Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,955
Kuna kitu kinanishangaza sijaelewa bado. Waziri Bashe alikataza magari ya kigeni kuingia hadi vijijini kukusanya mazao lakini hadi sasa tunashuhudia utitiri wa magari ya kigeni huku Karatu vijijini na Mang'ola kwenye vitunguu.
Hata Raia wa kigeni huku wanakodisha mashamba wanalima wenyewe, hii imekaaje? Kauli ya Waziri ilionekana ni haina maana?
Au kuna Mamlaka inayopita kutaka kupuuzwa kwa kauli ya Waziri baada ya hapo?
Hata Raia wa kigeni huku wanakodisha mashamba wanalima wenyewe, hii imekaaje? Kauli ya Waziri ilionekana ni haina maana?
Au kuna Mamlaka inayopita kutaka kupuuzwa kwa kauli ya Waziri baada ya hapo?