Hivi Huyu Joseph Mhagama (Mwneyekiti wa Tume) ni nani ...!!?

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,397
12,981
Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!?

Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye hii kamati ya Bunge. Lakini kwa mtazamo wangu naona kama vile amewekwa pale kwa agenda maalumu. Amekuwa akiingilia sana na kukatisha watu wakati wanatoa maoni yao kwenye kamati. Hii tayari imeshaanza kuonyesha mwelekeo na nia ya serikali kuhusu.

Huyo Mwenyekiti kaonyesha wazi kuwa alikuwa anafanya kazi yake kwa maelekezo toka juu ,,,,.. Wajumbe wengi hawakupewa uhuru kutoa mapendekezo yao. Wengi walikuwa wanaingiliwa ingiliwa au kukatizwa ili wasiwalishe vizuri.

Hizo 4R za Maza ni mazingaombwe kazini kuelekea 2025....!!
 
Mkuu, CCM haiaminiki kwa jamno lolote ama kitu chochote kile chema katika taifa hili. Ni mithili ya mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo na kujichanganya katika kundi la wanakondoo.
 
Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!?

Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye hii kamati ya Bunge. Lakini kwa mtazamo wangu naona kama vile amewekwa pale kwa agenda maalumu. Amekuwa akiingilia sana na kukatisha watu wakati wanatoa maoni yao kwenye kamati. Hii tayari imeshaanza kuonyesha mwelekeo na nia ya serikali kuhusu.

Huyo Mwenyekiti kaonyesha wazi kuwa alikuwa anafanya kazi yake kwa maelekezo toka juu ,,,,.. Wajumbe wengi hawakupewa uhuru kutoa mapendekezo yao. Wengi walikuwa wanaingiliwa ingiliwa au kukatizwa ili wasiwalishe vizuri.

Hizo 4R za Maza ni mazingaombwe kazini kuelekea 2025....!!
TISS mbobezi wa IT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani maigizo anayoyafanya huyo Mkiti bandia yanadhihirisha jinsi CCM inadharau wananchiii na kujiona wao ndo wenye nchi naona giza uko mbele kuna siku tutachoka wajomba sijuhi nani ataonekana sio mzalendo??
 
TISS mbobezi wa IT

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni aina ya wangoni waliochangamka ,Hao ni wanafiki wanajificha kwenye kivuli cha wangoni

Wangoni baada ya kutoka Afrika kusini waliwakuta hao akina mhagama makabila ya matengo na wanayasa waliamua kuwatandika sana na kuwapora wake zao waliona wanafiki

Mhagama ni watu wa Ruvuma huko lakini sio wangoni ni watu waliopigwa na wangoni na kukimbilia nje ya mji

Usiwaamini hao ni jamii za akina Jenista wa Peramiho huko

Hao ni ccm daima na wapiga kura wao ni wale wale ccm daima

Hao na wazaramo ni jamii moja waoga sana

Mshana hapa Tz kuna makabila waoga sana sana kiasili hawajawahi kupambana vita walifanywa watumwa

Makabila yote yaliyofanywa watumwa na makabila makubwa ni waoga sana hapa Tamzania

Wewe angalia makabika ya Pwani ,Bora wanyakyusa waliopigwa na Mirambo na kukimbia lakini wana kaujasiri kidogo
 
Back
Top Bottom