Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi.
Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala ili kupata viongozi waliopatikana kwa ridhaa ya wananchi.
Bahati mbaya sana kikundi cha watu waliofanya mapinduzi kimejimiliKisha uongozi, sio tu kwao bali na vizazi vyao.
Tumeona na kushuhudia jinsi chaguzi zinavyonajisiwa ili kuhakikisha uzao wa wanamapinduzi unabaki madarakani. Bahati mbaya hayo mapinduzi yamehamia hata huku Tanganyika. Ndio maana nasema kila baada ya miaka mitano yanafanyika mapinduzi yanayoitwa uchaguzi mkuu.
Hizi chaguzi hazitoi washindi halali bali wale watakaokubaliwa na uzao
wa wanamapinduzi.