Hivi Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar tunaiona. Rais wa Tanganyika yuko wapi? Mbona wa Zanzibar tunamjua. Bendera ya Tanganyika iko wapi? Mbona ya Zanzibar ipo. Na katiba je ya Tanganyika maana...
Wanabodi,
Kuna serikali za aina mbili, de jure, kwa mujibu wa sheria, na de facto, zilizotokana na mapinduzi, lakini zote ni serikali halisi, ziwe ni halali au si halali hazihusiani na uhalisi...
Ndio maana yake
Ili kumaliza figisu za hapa na pale ndani ya CCM ni vema Katibu mkuu wa chama ateuliwe kutoka Zanzibar
Mtu kama Sadifa mwenye uzoefu wa kutosha wa Uongozi na wengine Wengi hata...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea...
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal...
.
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika ...
Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo.
Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda...
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa...
Tanzania needs a new president from 2025 for a number of reasons, including:
To address the country's economic challenges. Tanzania's economy has grown steadily in recent years, but it still...
Ili ukombozi uwe wa kweli inabidi ukubaliwe na ufanywe na waliowengi. Hii ndiyo maana mapinduzi ya kijeshi ni nadra kuleta ukombozi wa kweli sababu hufanywa na watu wachache. Ukombozi wa aina hii...
Kila mchangiaji anayetaka Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu anatolea mfano Uchaguzi wa mwaka 2020 Kwamba haukuwa Huru na Haki
Tena wanadai Wabunge Wengi walitangazwa...
Habari wanajamvi, leo nimeona mahali Waziri wa Nchi (Mipango na Uwekezaji) Mh Prof K. Mkumbo kaita waandishi wa habari anazungumza jambo. Amezungumza juu ya nini?! Au alikua anatetea Dissertation...
Kwanini wengi wa wachangiaji wamepinga mswada kama wawakilishi wa Taasisi za Kidini, wakristo na waislamu wote wanapinga.
Kwa ushahidi uliowazi wawakilishi wa taasisi za kijamii na zenyewe...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sherehe nyingi za kitaifa za nchi hii, zilianza kusherehekewa kwa mtindo wa kubana matumizi katika awamu ya Tano ya utawala wa nchi yetu.
Ni muda Sasa sherehe...
Baada ya mivutano ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kuhusu Tume ya Uchaguzi kuajiri wafanyakazi wake yenyewe , badala ya kutegemea Makada wa ccm wale Wakurugenzi wa Halmashauri ...
Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea...
Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa ...
Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi.
Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe...
..huyu Dada wa Chadema kwanza yuko very confident and composed.
..kitu cha ajabu ni kwamba maoni aliyokuwa akiyatoa Mwakilishi wa Bavicha yanafanana na yaliyotolewa na watoa maoni wengine kama...
Kwasasa huko visiwani kuna shamrashamra yakuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi.
Wazanzibar wenyewe huyaita “mapinduzi matukufu” je huwa wanamaanidha nini? Ni upi huo utukufu katika hayo Mapinduzi...